Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usipotee njia kima, sio Nairobi ni City nyingine inaitwa Mombasa.., ngojeni miaka 25 mbele ndio muone such outside Dar.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
View attachment 2398553
The current situation of affairs πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

FfetYDGaUAE7ZOx.jpeg
 
When was your last time ulikuja DAR ..? 🀣🀣🀣.. heb anika hizo flyover na interchange za DSM tuone.. kitu mtataja hapa ni jidipii tu .. ground ipo hivi.. tuko na km za SGR mara nne ya mlizonazo. Mnaota kuwa na BRT while we have three phases of them. Ktu chenye u ar proud of ni flyovers in which tunazopia. Nyinyi si chochote kwetu Mzee 🀣🀣🀣🀣.. tuko na kila kitu kuwazidi nyie endeleeni kupost vi apartment ndio comfort zone yenu .. sio miradi ya kimkakati mzee ..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ujinga gharama na laanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ziko wapi hizo km za SGR mara nne ya Kenya? wapi hizo three phases za BRT running?.,
watu wa GDP hafifu, taifa la City moja na ka CBD kamoja na uswazi tupu.., utaniambia nini?., kiwango ya hizo project ukilinganisha na size ya nchi na idadi ya wtu yaani ni 0.01%., u still are underdeveloped hadi sasa hivi.., fyata wacha kuanika aibu, ungekua unahadithia mtu asie ijua Tz ingekua sawa, ila sio mimi kilaza, koma mapemaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
The current situation of affairs πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 2398558
hapa naweza tetea Wakenya,wanayo Nchi ambayo Haina mvua,Yani ata ukijaribu kupanda vyakula havimei,ama hayo kidogo yanaliwa na ndege kwasababu ya makali ya njaa!
Hapa Tz tumshukuru Mola kwa kuwa hatujapitia makali ya ukame Kama ambayo Kenya inayapitia.
Ingekuwa nisisi uko Kenya tungekuwaje!!!!
Haya yanaletwa na Global warming pia Somalia,na Ethiopia yanatokea!!!
 
Wewe fukara focus kutafuta PA kula kwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Narudia ngojeni miaka 25 mbele kuviona nje ya Dar.., unatafuta pakutokea kisa jibu hamuna, huu mwaka mtapiga domo domo hadi mwisho na kuendelea.., hamukwepi ukweli, nakurudisha pale pale, nje ya Dar hamna πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
1666796856496.png
 
Issue kubwa imebaki ambayo hatujaifanyia kazi ni Conference tourism na Sports and Entertaiment tourism..bado vitu vingi havijawa implemented

1.Mount Kilimanjaro International Convention Centre ..in Arusha

2. Na hizo Arena Alizo promise Rais..Dar na Dom

Hii ya kwanza itaepelekea Mikutano mingi ya Africa na Nje kuwa hosted TZ ..

Hizo za pili its all about.. Music , Entertainment , Award Shows , Basketball games etc
 
Yaani ni Dar tu? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ miaka ngapi? alafu unalazimisha kujifananisha na Kenya, cheza na akina Malawi na Msumbiji ukingoja mkamilishe hizo interchanges 5 za hovyoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jamaa anajipiga kifua just because of 5 interchanges and 3 flyovers πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
When was your last time ulikuja DAR ..? 🀣🀣🀣.. heb anika hizo flyover na interchange za DSM tuone.. kitu mtataja hapa ni jidipii tu .. ground ipo hivi.. tuko na km za SGR mara nne ya mlizonazo. Mnaota kuwa na BRT while we have three phases of them. Ktu chenye u ar proud of ni flyovers in which tunazopia. Nyinyi si chochote kwetu Mzee 🀣🀣🀣🀣.. tuko na kila kitu kuwazidi nyie endeleeni kupost vi apartment ndio comfort zone yenu .. sio miradi ya kimkakati mzee ..
Nyinyi shindaneni na Burundi

IMG_20210712_220639.jpg
 
Jamaa anajipiga kifua just because of 5 interchanges and 3 flyovers πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
Huyo ako hivyo, atalazimisha eti giza ni jua, that is his reasoning, he argues to win not to give a point πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Ngojeni leo nikudhishirieni upumbavu wa huyu jamaa Don YF .. hiv kati ya hili πŸ‘‡3.2 km cable stayed bridge in Mwanza
msemajimkuuwaserikali-20221016-0001.jpg
.. this 1.4 km SGR viaduct πŸ‘‡. Vs huu ushuzi
1666796856496.png
.. tunapigizana kelele na maskini wasiojielewa 🀣🀣🀣🀣.. kwake yeye an interchange with 50 m ni bora kuliko SGR viaduct and a cable stayed bridge with 3.2 km .. taifa halina dira a raia pia hawana dira
 
Huyo ako hivyo, atalazimisha eti giza ni jua, that is his reasoning, he argues to win not to give a point πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
We kalio pitia hii πŸ‘‡
Ngojeni leo nikudhishirieni upumbavu wa huyu jamaa Don YF .. hiv kati ya hili πŸ‘‡3.2 km cable stayed bridge in MwanzaView attachment 2398572.. this 1.4 km SGR viaduct πŸ‘‡. Vs huu ushuziView attachment 2398615.. tunapigazana kelele na maskini wasiojielewa 🀣🀣🀣🀣.. kwake yeye an interchange with 50 m ni bora kuliko SGR viaduct and a cable stayed bridge with 3.2 km .. taifa halina dira a raia pia hawana dira
 
Back
Top Bottom