Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu alikuwa anatafutwa na serikali yake na alikuwa on the run. Ni kushikwa alishikwa akiwa Kenya. Ameuawa na serikali yake mwenyewe, nothing to do with insecurity in Kenya.
Kwahiyo serikali yenu ambayo imekubali kwamba polisi wamempiga risasi ni wajinga wewe ndiye mwerevu?. Kwanini asiuliwe akiwa Dubai?. Kenya ni shithole country lazima ukubaliane na huo ukweli
 
Dar es Salaam kama Dar!.😝😝😛
"sehemu za Vingunguti Dar es salaam".., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
1666699002224.png

1666699101671.png

1666699144304.png
 
We sell more to SADC than EAC and COMESA combined, you must be insane to leave this economic block.
That's fine, but you're always pandering to them. You do not know how to separate business from emotions. They don't value you like you value them.
 
Yaani a fact pia wewe inakuuma [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtanyooka this time round, niliamusha kivumbi humu..,
Round off 114 alafu ukimaliza round off 67 nasubiri majibu
 
That's fine, but you're always pandering to them. You do not know how to separate business from emotions. They don't value you like you value them.
Wewe wivu unakusumbua, ulitaka watubebe mgongoni? Tunafanya nao biashara kuliko nyinyi, tunaingia kwao bila visa na wao wanakuja kwetu, infact hata kijiografia sisi tupo Southern of Africa na sio East, sisi ni wa South Africa sema nyie watu wa Eastern of Africa mnalazimisha tuwemo kwenye umoja wenu ili amani iendelee kuwepo huko kwenu, kukosa sisi hakuna amani huko EA.
 
Kwahiyo serikali yenu ambayo imekubali kwamba polisi wamempiga risasi ni wajinga wewe ndiye mwerevu?. Kwanini asiuliwe akiwa Dubai?. Kenya ni shithole country lazima ukubaliane na huo ukweli
Governments work hand in hand, hapo serikali ya bongo imeua watu wangapi? Mnauliwa bila kulalamika mnaona mko sawa?
 
Where is GDP?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pia waulize hawa giants wa Africa GDP iko wapi?..., haujui relation ya GDP na economic challenges ya nchi husika, Tz yenye double digit GDP hamuna lolote wala haujui lolote fukara 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂

wacha nizungumze na mataifa yenye triple digits GDP niwaulize swali lako kuhusu GDP kilaza..,
"Egypt kuna mkwara flani anajiita joto la jiwe anauliza GDP yenu iko wapi kwa hizi challenges zenu?"
1666700689807.png

1666700757163.png

1666700776570.png

1666700927559.png


Tuelekee South Africa, another tripple digits economy.., another giant in Africa..,
"SA where is your triple digits GDP?" (courtesy Kilaza ajulikanae kama joto la jiwe )
1666701116178.png

1666701104529.png

1666701094151.png


Nigeria, Morocco na Ethiopia sitaji challenges zao licha ya kukua na triple digits GDP, matatizo yao ni mengi mno..,

So kilaza joto la jiwe , ukubwa ama udogo wa GDP sio suluhisho kwa matatizo ya nchi ila ni utenda kazi wa viongozi husika na uwajibikaji wa raiya kujikimu kimaisha., sio uzembe na ushamba kama mlio nayo wengi wenu, mpo mpo tu, ndio maana mmebakia taifa lenye watu wengi fukara wa kutupwa zaidi ije upande wa SADC ama hapa EAC licha ya rasilmali na udongo wenye rotuba.., bado GDP yenu ni double digits na taifa ni kubwa na watu pia ni wengi!!! janga hili!
 
We unajua maana ya world standard..?
Define., kisha kuja uchunguze ni nini inakosa hapo yenye sio standard? mbona mko vichwa ngumu? ama nyie ni watu wa vipicha muonekano..., kwa hizi fikra zenu, China ni first world country based on the outlook and superb infrastructure.., ama kwa vile ni kenya mna kinyongo?
 
Back
Top Bottom