Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa ndio wanakaa mahustler eeh? Pako congested kilichoboreshwa hapo ni mpangilio wa vibanda na njia za kuingia na kutoka ila hakuna maajabu hata wewe unalijua ilo
Ndio tulikua tunafananisha na hizi mitaa ambazo ni 90% ya "world standard city" Dar is slum (sorry ni Malawi), Tanzania hamna hizi, nisipigwe na The best 007 bure😂😂😂😂😂😂
1666702064040.png

1666702012929.png

1666702047422.png
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila kunyaland hawana madem wazuri hivi though


Reaction ya Jamaa aliyeoona mchongo mzima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Define., kisha kuja uchunguze ni nini inakosa hapo yenye sio standard? mbona mko vichwa ngumu? ama nyie ni watu wa vipicha muonekano..., kwa hizi fikra zenu, China ni first world country based on the outlook and superb infrastructure.., ama kwa vile ni kenya mna kinyongo?
Mi hua nasema hapa China bado sio ulimwengu wa kwanza na nna sababu wanaokubali wakubali wanaopinga wapinge,na nnarudia tena Nairobi sio World class city na bado safari ni ndefu kufika uko
 
Most definitely .. tena ni cool kuliko hizi takataka zenu zenye hazina hata lami au lami mbovu mbovu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..
Upanga
Osterbey
Masaki

Them all cooler than anything u guys have .. ukibisha twende ground
[emoji1787][emoji1787] wakenya wenzangu huwa nawashangaa sana mkipea machizi kama hawa time yenu
 
Mi hua nasema hapa China bado sio ulimwengu wa kwanza na nna sababu wanaokubali wakubali wanaopinga wapinge,na nnarudia tena Nairobi sio World class city na bado safari ni ndefu kufika uko
Nairobi is not yet a world class city ila kuna sehemu with world standard levels.., hilo utabisha kweli?.., ata nchi kama Ghana kuna sehemu wako na kitu having world class standards, even operations za some services..,
 
Nairobi is not yet a world class city ila kuna sehemu with world standard levels.., hilo utabisha kweli?.., ata nchi kama Ghana kuna sehemu wako na kitu having world class standards, even operations za some services..,
There's no single place in Nairobi yenye iko na world standard.. kaa kwa kutulia
 
Taifa la Malawi.., duh, bado wako porini hawa Malawi, watanzania njooni muone Malawi jirani zenu, hawana slums ni mitaa ya kawaida kama "Eastlands" kule Kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2397410
View attachment 2397423
View attachment 2397421
View attachment 2397411
View attachment 2397412
View attachment 2397413
View attachment 2397414
View attachment 2397418

View attachment 2397422
Hivi unajua kama soko la Kariakoo linafanyiwa ukarabati? Hapo hamna shughuli zozote za biashara zinazofanyika. Hizo picha ni za zamani sana [emoji846][emoji846][emoji3][emoji3]
 
[emoji1787][emoji1787] wakenya wenzangu huwa nawashangaa sana mkipea machizi kama hawa time yenu
Kako na hasira, wacha tukanyooshe kalilie nyumbani kwao kwa choo, am sure hua anatoa machozi, ni kama kike hivi 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Unachoweza ni kitukana na nikihamia upande wa matusi pia hauniwezi kaa kwa kutulia ..
Huyo amekuwa mpumbavu kuliko hata nilivyokuwa namdhania, na siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwa mjinga, huenda amekuwa mlevi siku hizi au hali ya maisha imezidi kumkaba.
 
Back
Top Bottom