Rhaenyra Targaryen
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 879
- 1,040
Tuonyeshe pavement za Dar CBD tuzione. 🤣 🤣Dah aisee pavement chafu hivyo? Yaani pavement ni kitu cha kujivunia kama mji? Pavements ambazo zipo kwenye kila nyumba ya mtanzania achilia mbali miundombinu ya serikali!
