Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Wewe nimekuuliza unajua ni kwa nini Kilimani ilitajwa the coolest in Africa? alafu estate flani ya Mexico ndio ilichukua nambari moja na sio China wala USA?.., ila kwa hili, umeumwa kwa vile ni Kenya ilitajwa, ingekua SA ama ata Ghana haingekua tatizo kwako hilo najua, lishamba liko na wivuuu.., ππππππππππππππKuanzia nimekua na Tamaduni za kujifunza kuhusu nini kinaendelea duniani kwenye masuala ya infrastructure hasa China, na ku explore kupitia YouTube baadhi ya miji mikubwa duniani inafananaje, nimejifunza kwanza Africa tuna safari ndefu mnoo .. tusianze kujikweza ndugu zetu wa North jamani, π€£π€£π€£π€£

