Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa wanamgambo huwa wanachekesha sana, akili zao huwa hazitofautiani na wachunga ng'ombe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kibamba,kwembe,king'azi,kuna jamaa wananunua 20-20 kwa m 4 au 5,iko kiwanja wanakikata mara 4 then wanauza kwa m 1.5 hadi 2,anapata cha juu,king'azi malamba mawili ndio biashara hiyo ya wajinga
 
Inapaswa kuwa hivyo mana kuwaachia serikali haitoshi cz serikali zetu za kiafrika bado hazijaona umuhimu wa kupanga miji.
Muda mwingine ni vizuri kuchukua jukumu la kujisimamia wenyewe,imagine mwenyekiti wa mtaa na mtendaji wake wote waluga luga hata posta hawajawahi kufika,watapata wapi fikra za kimaendeleo!
 
Wewe ni mjinga taslimu kati ya watu 1000 ni wakenya 20 ndio wanagari sasa hapo ndio mnaona mmenunua gari nyingi?
Nilikua nataka kupata mtoto na wewe muuguzi lakini naona utanizalia kizazi kijinga, tangu lini Danganyika ikawa na magari nyingi kuliko Kenya?
 
hio ni nyinyi an LDC.. hatuna tyme na nyinyi.. hamuna hela


but did u knw SautiSoul and H_Art The Band are more famous in SA, Nigeria and Ghana than even your so called DiamondPlatnumz!

if u didn't know.. now u know!
Wacha kutukosea heshima kwa kutaja takataka dhidi ya msanii alietangaza muziki wa Afrika mashariki nje ya mipaka ya Afrika, kaa kimya kondoo mnuka Mavi wewe
 
Kule kifuru wakazi wa kule wameunda umoja wao,kiwanja kikiuzwa kwenye eneo lazima kamati ya mtaa ijulishwe na itamuuliza mnunuaji aina nyumba,huo umekaa vizuri sana nyumba zake
Hawa mbona wamekuwa na akili kuwazidi hata hao ardhi wamejiongeza vizuri. Sehemu nyingine waige [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…