NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,747
- 49,633
Miradi ya kimkakati ikikamilika yote ndani ya DAR.. mimi nitafungua Uzi wa KE vs UG ili kuwapa support ndugu zetu wa kenya, becoz we will no longer be of their low level.
Si muandike kwa kiswahili ieleweke, sasa nyanyaa kutoka ushagoo huko Bungoma atajua maana ya Terminus???? Wakenya bhuana [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Mombasa terminusView attachment 2392277
Wakwetu wamesomaSi muandike kwa kiswahili ieleweke, sasa nyanyaa kutoka ushagoo huko Bungoma atajua maana ya Terminus???? Wakenya bhuana [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Hii stesheni itakua kiboko ya takataka zote EA as far as modernity is concerned
Mimi nawajua, wanaitwa Wakenya [emoji1787]Nitajie capitalist mwenye njaa hapa duniani.
We andika tu hunger kwenye search engine itakuja Kenya na ndugu zake.World's poverty destination
Chapa BRT All city major arteries including Flyovers &overpasses
Clean and classic.
Vile vibanda walivyojenga vimeondolewaNimepita coco wamepiga mabati pale palikuwa na hotel na zile bars zote zimepigwa nyundo, sijui what is loading pale.
Manji karudi kinyemela!Vile vibanda walivyojenga vimeondolewa