KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Geza Ulole The best 007 joto la jiwe
Practical time niliwaambia watakuja kenya alpha schools wabishi nyinyi iko wapi hio NIT yenyu


Don YF


Mtu mwenye arrogance ya kumwita majina ya ajabu binadamu mwingine automatically anakuaga na mental disorder , ungekua Tanzania ningekuambia wahi milembe wa kucheki upstairMimi sio mwehu kama mlivyo nyinyi, yaani hauamini!
Ushamba ni mzigo.., kwa ushamba ulio nao wewe unaona hii ni sitting room with those machines? alafu sitting room inaitwa sebule sio sebure kilaza![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 2392041
Hili jengo lingekuwa ni indoor arena mngekuwa mmeupiga mwingi, bahati mbaya kwa sasa ni white elephant, useless.Mombasa terminusView attachment 2392277
Wazee wa matukio lkn ground upuuzi mtupu, huwa mnapiga vipicha kuongopea watu lkn mnamatatizo kila angle, hizo mitumbaz wiki zikifanya kazi wiki mbovu yn mna maisha ya kuigiza snNairobi commuter railView attachment 2392181











Unaposema majority Kenyans u mean we have started to live in slums?wabongo nyinyi ni copy cats.
ona hapa.. mmeanza kuiga mapozi na lifestyle ya the majority normal middleclass kenyans
Wewe punga ziko wapi TC 202 ya NBO? iko wapi 216 LUN-FBM-DAR, iko wapi 124 Dar-znz-jro, punga wewe.Compare..
Currently there are 3air tanzania flights, Only one international flight
View attachment 2392287
VS 8 KQ Birds, All Intl flights- Last one is (NBO NRB-JNB JOBURG)
View attachment 2392286
Ujasoma hiyo habari unaleta link humu . Mnapenda uongo sana sijui kwa nini?Utaskia wakisema Kenya is colonozed.![]()
![]()
![]()
![]()
Key word is currentlyWewe punga ziko wapi TC 202 ya NBO? iko wapi 216 LUN-FBM-DAR, iko wapi 124 Dar-znz-jro, punga wewe.

1000km .? Unazungumzia nini.? Meli iko na urefu wa km 1000.? Au.?1000km final touches eti? ama? 😝 😝 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Huwa wanafosi tufanane ili na cc tuwe failed state kama wao.
Na wakipata naomba unitag na mm nione maajabu ya musa na firauni 😂😂