game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,056
- 26,336
Utaskia wakisema Kenya is colonozed.![]()
![]()
![]()
![]()
Namuona yuko slow sana mkuu. Asilimia 14 hazisongi kabisa.Kafanyaje?
Labda sasa hivi wataanza kwenda kasi maana kambi zote zimekamilika, hata ile ya mwanza mjini imekamilika na wameanza kuzungushia bati baadhi ya maeneo.Namuona yuko slow sana mkuu. Asilimia 14 hazisongi kabisa.
Wewe una shida ya kuelewa...Wewe punga ziko wapi TC 202 ya NBO? iko wapi 216 LUN-FBM-DAR, iko wapi 124 Dar-znz-jro, punga wewe.
Kila siku mnapiga picha haya mabasi mawili ya umeme tuu barabara zake mmefikia wapu
Na wamegundua ili waonekane watumie blue kama TZKila siku mnapiga picha haya mabasi mawili ya umeme tuu barabara zake mmefikia wapu
Hii ni porojo na haiwezi tokea Tz hata miaka 100 ijayoUtaskia wakisema Kenya is colonozed.![]()
![]()
![]()
![]()
Utaskia wakisema Kenya is colonozed. 🤣 🤣 🤣 🤣
Yeah! Kwenye malipo inawezekana anacheleweshwa. Ila kama vituo vimekamilika hope so ataenda kwa speed kubwa.Labda sasa hivi wataanza kwenda kasi maana kambi zote zimekamilika, hata ile ya mwanza mjini imekamilika na wameanza kuzungushia bati baadhi ya maeneo.
Kiukweli speed hairidhishi mimi Nina wasiwasi na malipo, mchina huwa hana tabia ya kudelay mradi
Haya mabasi yanapiga routes Museum?😂😂