Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

maa land!
suswa-narok route.. mandhari ilioješŸ”„
FB_IMG_1664704023070.jpg
 
Makala kama hizi hua nazikubali sana,18Km kazi nzuri,kazi safi...miezi 15sio mingi manake mwakani hadi Oct iwe tayari
Ila Arusha inahitaji km zaidi za lami ili iendane na hadhi yake ya East Africa federation capital city!

PAX Terminal U/C

Mama anajitahidi! watu wanapinga mama kuchukua mkopo Abu Dhabi Fund wakati bila hivyo SGR ingechukua miaka mingi kuisha!
 
Iyo ndio hali hasili...Hali yenu ikoje tupe mrejesho wa tafiti sio hisia zako zinavyokutuma
Sina data ya Nairobi ila minimum wage Nairobi ni Kshs. 15120 per month meaning minimum wage ya Nairobi ni more than what 85% of Darlites earn.

Hapa pia wanakataa sii Dar. 🤣🤣🤣

111.jpg
 
Hapa pia wanakataa sii Dar. 🤣🤣🤣

View attachment 2374719
The best 007 kuja ujimbu mashtaka
 
Dah kijiji lazima mtafute this to make yourself feel better but the truth remains dah is just a shit hole
Hamna nyie mnaishi vibaya kujikweza tu ila nyie hovyoo,you are so choked up with your fourth world life Yan mazingira hatarish namna hiyo af bado unataka kujitutumua poor waste disposal wageni ndo wanaokula matunda ya nchi kabwela mko kajambanani huko kujifananisha na DSM
 
Says someone who has never left his village town are you relying on ni vitu Unaona mtandaoni nkt
 
Says someone who has never left his village town are you relying on ni vitu Unaona mtandaoni nkt
Watu washamba kweli siku hizi watanzania kutoka vijijini kwetu sio issue usafiri bei chee barabara kibao unaongea na mtu ambae mamaangu ni wa kusini mtwara mshua wa kaskazini Kagera pua na mdomo na kijikenya chako na sasa nipo Dar es salaam niambie sasa sijatoka kijiji kipi cha kusini cha kaskazini afu tuweke mambo Sawa kama vipi endelea Kula msoto
 
Back
Top Bottom