Nairobi ni very tiny tiny, more than 50% ni pori ama eneo ambalo halijajengwa, then maendeleo mengi yamekusanyika kando kando ya barabara...
Mfano Ukiangalia google map satellite view upande wa Mombasa road utaona karibu 60% ya pisha wanazoshare humu zikiwa upande mmoja na upande mwingine hadi unatoka Nairobi ni pori na mbuga.
Kuna mtu amesema most ya wakazi wa Nairobi wanaishi kwenye magorofa ya udongo, the fact is, hayo majengo most of them ni single bedroom na vyumba ni vidogo sana, vyoo na usafi ni 0%, na kila jengo ni danguro