So wewe hata si wa dar…. Hehe so just a village boy ambaye anaona it’s an achievement sasa yuko dah. Ndo maanake unaona dah kama mbinguni safiri ujionee Mwenyewe uwache ushamba mwingi na propagandaWatu washamba kweli siku hizi watanzania kutoka vijijini kwetu sio issue usafiri bei chee barabara kibao unaongea na mtu ambae mamaangu ni wa kusini mtwara mshua wa kaskazini Kagera pua na mdomo na kijikenya chako na sasa nipo Dar es salaam niambie sasa sijatoka kijiji kipi cha kusini cha kaskazini afu tuweke mambo Sawa kama vipi endelea Kula msoto
Na Msoto labda wewe ndo you enjoy msoto me on my to the airport destination Cairo we Baki ukisifia Eti umesafiri to dahWatu washamba kweli siku hizi watanzania kutoka vijijini kwetu sio issue usafiri bei chee barabara kibao unaongea na mtu ambae mamaangu ni wa kusini mtwara mshua wa kaskazini Kagera pua na mdomo na kijikenya chako na sasa nipo Dar es salaam niambie sasa sijatoka kijiji kipi cha kusini cha kaskazini afu tuweke mambo Sawa kama vipi endelea Kula msoto
Me sio wa Dar ndio wala sikatai ila ni Mtanzania dar si ipo KenyaSo wewe hata si wa dar…. Hehe so just a village boy ambaye anaona it’s an achievement sasa yuko dah. Ndo maanake unaona dah kama mbinguni safiri ujionee Mwenyewe uwache ushamba mwingi na propaganda
Yani kuhusu kutembea usibishane na muhaya unafanya mistake kama kuingia kinyumenyume kwenye nyumba ya popobawaNa Msoto labda wewe ndo you enjoy msoto me on my to the airport destination Cairo we Baki ukisifia Eti umesafiri to dahView attachment 2374790
Bado Sana kufika hapa 👇maa land!
suswa-narok route.. mandhari ilioje🔥View attachment 2374701
Sana upande wa barabara bado hawajafikia kiwango kile...bado wanahitaji miradi kibaoIla Arusha inahitaji km zaidi za lami ili iendane na hadhi yake ya East Africa federation capital city!
PAX Terminal U/C
Mama anajitahidi! watu wanapinga mama kuchukua mkopo Abu Dhabi Fund wakati bila hivyo SGR ingechukua miaka mingi kuisha!
Jibu zuri ni Huna takwimu AhsanteSina data ya Nairobi ila minimum wage Nairobi ni Kshs. 15120 per month meaning minimum wage ya Nairobi ni more than what 85% of Darlites earn.
Kenya Minimum Wages
Minimum Wages in Kenya increased to 16113.75 KES/Month in 2026 from 15201.65 KES/Month in 2025. This page provides - Kenya Minimum Wages- actual values, historical data, forecast, chart, statistics, economic calendar and news.tradingeconomics.com
Kwahyo hapa hiki kidonge ni cha watz wote ama uyo chalii tu?Na Msoto labda wewe ndo you enjoy msoto me on my to the airport destination Cairo we Baki ukisifia Eti umesafiri to dahView attachment 2374790
Hii man sidhani kama ni sahihi, barabara za mtaa wakati wa JPM zilijengwa na DMDP phase 1 ambayo imeisha, phase 2 ndio hiyo wanataka kuanza. Lakini pia speed ya vibarabara vya mtaa si haba, naona TARURA wamekomaa na juzi wamepewa mpunga mrefu. Tuwe positive guys, I can still see the bright future in this country.Tangu kufa kwa Magu hatuoni tena barabara za mitaani zikijengwa wala miradi ya maana, zaidi ni miradi ile ile aliyoiacha na isitoshe speed imepungua kabisa, hawajui waanze lipi wamalize na lipi, vimiradi vidogovidogo kama flyover vinatumia miaka mitatu na havijamalizika mpk leo alafu mnawapa airtime kina Kivevele kuongea.
Na bila aibu Una post this picture unakaa kijakazi…. Poor quality clothing na pimple zinainyesha hutunzi Sura vizuri hehe kuna difference kutembea nje kujivinjari na kuenda kuteseka nchi ya wenyewe kukaa kijiweniHuna maisha wewe upo Cairo hahaha hapo mm juz nilikuwa Amsterdam wewe huko si unaendaga ndotoniiView attachment 2374820
Sisi ndio baba wa michezo hapa EA, michezo yote tunacheza na tunapeleka timu katika michuano au mashindano yote.[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
We unazikubali hizo za juu? Kama kaongopa hzo za juu kwnn asiongope na hiyo ya mwisho? Na kwnn hujamwambia kama kaongopa ikiwa wewe unapenda ukweli? Pumbavu wewe.Wanakataa hadi hiyo picha ya mwisho eti sii Dar. [emoji1787] [emoji1787]
Dar ya babaako [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapa pia wanakataa sii Dar. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
![]()
Tanzania: Dr Magufuli orders the closure of all private pharmacies around the Muhimbili National Hospital
Recently Tanzania’s President Dr John Magufuli ordered the closure of all private pharmacies around the Muhimbili National Hospital (MNH) on the pretext that they were overcharging patients whenever they buy medicines from such facilities.www.shout-africa.com
View attachment 2374719
tatizo mama hafanyi propaganda kama Mwendazake! Lazma wakubishie!Hii man sidhani kama ni sahihi, barabara za mtaa wakati wa JPM zilijengwa na DMDP phase 1 ambayo imeisha, phase 2 ndio hiyo wanataka kuanza. Lakini pia speed ya vibarabara vya mtaa si haba, naona TARURA wamekomaa na juzi wamepewa mpunga mrefu. Tuwe positive guys, I can still see the bright future in this country.