Rhaenyra Targaryen
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 896
- 1,065
Ukiongea hivi mtu anaweza dhani umewai fika Nairobi.Choo cha East Afrika na Kati. Ukipita mitaa ya Kanairo usipotapika basi wewe unaweza pigia msosi ndani ya choo cha stand bila shida😅😅