Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 2373537

Nairobi in one picture, acha kukata map, ngoja nikuwekee full image, I've been mapping settlement pattern ya Nairobi for past 2 years, angalia kuanzia Airport hadi kasarani

View attachment 2373537

View attachment 2373545View attachment 2373555View attachment 2373560View attachment 2373545View attachment 2373555View attachment 2373560

This one picture ya Nairobi ngalia kiwango cha majengo ya slums za mabati, then angalia magorofa ya udongo, then tatufa appartment zenye wastani ambazo most Kenyans hawawezi kukaa...

Angalia huku chini kabisa kuna slum kubwa sawa but something very interesting, badala ya watu kujenga kwenda kwenye nafasi wameenda kulundikana in a single place
Alafu naona Nairobi iko well organized.., watu wamejenga vizuri sana, ata hiyo slum ni kidogo ukilinganisha.., ama unabisha? weka google earth view yote tulinganishe makazi yote ukubwa vs slums..,
Yaani umeweka picha kwa umbali ili upotoshe but wapi...,
1664613120006.png
 
Hakuna kama Kirigiti njee ya ile moja ya Dar.., usilazimishe kile hakipo kiwe, haiwezekani, mapambio yako nimezoa, potelea mbali kilaza, nenda ukadanganye pengine wamalawi na domo domo 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
🤣🤣🤣🤣 Ni kama huijui Tz au ni kulazimisha nyeupe kuwa nyeusi.. kabla uondoke DAR kwanza apart from mkapa a.k.a Lupaso stadia kuna Uhuru stadium 👇
mbili.JPG
IMG-20161017-WA0047.jpg
nahimana-pic-data.jpg
 
Kwenye picha niliyoonesha ni sehemu gani ya Nairobi hujaiona?
Nilidhani ulisema Nairobi iko kwa picha moja.., haiwezekani, umejaribu kupotosha kwa kuweka kwa umbali lakini haujatoboa, sasa leta hizo picha zote kwa karibu, kisha tulinganishe na Dar.., mko hovyo jikubali, ukubwa wa Dar ni udong na makazi uchwara iliyo tapakaa kote kote..,
 
Ingia google earth halafu search " kijichi" halafu ndo utajua kuwa DAR ni kubwa kiasi gani
 
Nilidhani ulisema Nairobi iko kwa picha moja.., haiwezekani, umejaribu kupotosha kwa kuweka kwa umbali lakini haujatoboa, sasa leta hizo picha zote kwa karibu, kisha tulinganishe na Dar.., mko hovyo jikubali, ukubwa wa Dar ni udong na makazi uchwara iliyo tapakaa kote kote..,
Mbona umechukua picha moja ndugu 🤣, na hizi picha zina afadhani nimeonesha kwa juu, nimewahi kutembelea na kuingia

Both Tandale na kwenye Hizo slums na Magorofa ya udongo
 
Alafu naona Nairobi iko well organized.., watu wamejenga vizuri sana, ata hiyo slum ni kidogo ukilinganisha.., ama unabisha? weka google earth view yote tulinganishe makazi yote ukubwa vs slums..,
Yaani umeweka picha kwa umbali ili upotoshe but wapi...,
View attachment 2373645
Screenshot 2022-10-01 at 10.52.01.png

Ina maana hii hujaiona. Ni mwaka wa pili nimekuwa nikifanya utafiti jinsi Dodoma inaweza kuwa transformed into modern capital city in comparison to other cities in Africa and beyond.

Nakutaka siku moja ufike mji wa serikali wa Magufuli na unaojengwa, na utembelee Westlands na Upper hills huko kwenu, alafu tuone kama 2025 hamtaitukana serikali na watu wake wakupanga miji kwa nini hawajifunzi Tanzania
Screenshot 2022-10-01 at 10.52.01.png
 
View attachment 2373661

Naijua Tanzania bana, usiwe mwehu mbele yangu, tafuta wa kudanganya.., jiji moja sio Tanzania yote kilaza.., ikija kupanga miji, mnasoma kwetu.., 2025 sio mbali, Tanzania itakua mahali iko kwa sasa, or very slight change, mnajikokota kukamilisha miradi, sioni mabadiliko in 2025, yenye mtakua mmefanya ya kutushangaza.., nimekua hapa kwa muda mrefu nawajua nje ndani.,
 
🤣 🤣 🤣 Sasa mbona unakuwa subjective?

Kunazia 2015 we planned the cities of the future
 
Wewe ni mpuuzi sana.., Kirigiti iko nje ya Nairobi.., hii hapa Nyayo stadium inaijibu kikamilifu, idiot 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2373663
View attachment 2373656
View attachment 2373658
View attachment 2373659
View attachment 2373660
View attachment 2373662
View attachment 2373665
View attachment 2373667
🤣🤣🤣 Dar Iko na viwanja vinne vya mpira vya maana mzee..

Lupaso stadia
Uhuru stadia
Azam stadia
KMC stadia U/C

Hivi ni kando na Kigamboni football academy.. the biggest football academy in the region
Also U/C 👇
picture03-610x343.png
EisGi_XX0AEn519.jpg
E9C2ECED-C8DB-499A-A903-D9324D14B76E.jpeg
E9C2ECED-C8DB-499A-A903-D9324D14B76E.jpeg
57B20432-565D-4815-842F-D884E3C75510.jpeg
CC1BC6EB-2046-49CD-876C-3BBBDCE504FF.jpeg

Kwenye hili mtuache kidogo manzee 🤣🤣🤣
 
Naona umetia adabu, umeanza kuongea kwa heshima..,
Nyayo stadium, upclose view..,
1664614920142.png

1664614744837.png

1664615060820.png

🤣🤣🤣 Dar Iko na viwanja vinne vya mpira vya maana mzee..

Lupaso stadia
Uhuru stadia
Azam stadia
KMC stadia U/C

Hivi ni kando na Kigamboni football academy.. the biggest football academy in the region
Also U/C 👇View attachment 2373672View attachment 2373673View attachment 2373674View attachment 2373675View attachment 2373676View attachment 2373677
Kwenye hili mtuache kidogo manzee 🤣🤣🤣
 
Hadi nimeamua kuchangia, unaweza kuleta hayo madaraja mawili, ongeza na mengine 10 kama yako alafu ulete daraja la kingongo busisi tulinganishe

[emoji1787] [emoji1787]
Huyo karopoka asiichokijua,ajaangilia km wala vyanzo vyovypte vinavyokidhi kwenye kufanya ulinganishi.
 
Kasarani
City stadium
Nyayo Stadium
Ulinzi Stadium, Lang'ata
Ruaraka stadium
Hii City stadia ni joke 🤣🤣🤣 usitaje hii uchafu.. ma viwanja ya hivyo yapo kila kona hapa DAR na siwezi taja humu .. ruaka stadia ni ipi heb leta tuone hapa
 
Back
Top Bottom