Kuna kitu ambacho waTZ hamkielewi.Hauwezi linganisha jinsi KE inavyojenga miundo mbinu yake na nyinyi. Mfano wakati mngali bado mnajenga daraja la kigongo busisi, Mombasa imejenga na kumaliza madaraja mawili.Hii ni kuonyesha kuwa miradi ya Kenya hata iwe ndogo aje,inatumia simiti nyingi kwa siku kuliko yenu hivyo yanakamilika kwa haraka na mengine kuzinduliwa.