Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

JW Marriott ziko mbili pekee Africa nzima. Only in Nairobi and Cairo alafu tunaongeza ya tatu ndani ya Maasai Mara.
20220930_174446.jpg
 
Hii yote, cement consumption ya expressway kutoka mwanzo hadi mwisho imeifunika dogo.., sijataja construction ya 88 apartment ya 40 floors, construction of GTC complex from 2017 to 2021.., na redhill between 2017 and 2021..,
View attachment 2372675
Redhill 2019 construction
View attachment 2372678
Redhill 2021 completion..,
View attachment 2372679
Hautajaenda kwa affordable housing between 2017 to 2022.., private developers, development at tatu and Konza same period..,
Masoko within Nairobi county, county roads within Nairobi, pale Western bypass construction ya flyovers hiyo period ya 2017-2022.., etc
🤣🤣🤣 It's funny cement consumption kwenye ujenzi wa bandari kulinganishwa na vijumba .. very funny.. unafkiria sisi hatukujenga magorofa kwa kipindi hiki 2017-2022
 
We sio bure unaliwa wewe.. kunakuwa na viwanda vya kutengeneza mataruma kabisa ili kujengwa njia ya SGR .. hiki kiwanda kinatengeneza mataruma 1500 every single day 👇. 👇View attachment 2372388mataruma ni hizo mikitu za zege zilizopitishiwa chuma juu yake tayari kupitisha reli, imagine hiyo cement consumption daily.. sijataja cement consumption kwenye overpasses, underpasses, mifereji,vituo vya reli n.k, and mind you kuna viwanda kadhaa vya kujenga mataruma katika kila phase moja ya mradi.. and guess what, tuko na 5 phases U/C simultaneously.. wacha mchezo kabisa .. leta hiyo cement consumption kwene jujenga tarmac roads .. tuone kama inaweza fika 2% ya 1 phase of SGR

Hujielewi na pia huelewi unachoongelea. That means that a 2000km truck will only have 1308 ×2000 sleepers. Do you know the ratio of cement to Sand to aggregate that is used to make those sleepers?
 
🤣🤣🤣 It's funny cement consumption kwenye ujenzi wa bandari kulinganishwa na vijumba .. very funny.. unafkiria sisi hatukujenga magorofa kwa kipindi hiki 2017-2022
Gorofa gani mlijenga? 😂😂😂🤣😂

Tanzania nzima ilijenga TU nyumba 1k almost same na what Kisumu did in one year alone😂😂
Screenshot_20220907-135532_1.jpg
 
Hujielewi na pia huelewi unachoongelea. That means that a 2000km truck will only have 1308 ×2000 sleepers. Do you know the ratio of cement to Sand to aggregate that is used to make those sleepers?
Haujawahi miliki akili timamu baki na uzuzu wako
 
Ive been to dar port pale gate 1 next to camel oil and ive been to mombasa port gate 9, dar port is a joke compared to mombasa port
There's no day port of Dar is slum will ever come close to Mombasa port. Infact if you combine all the ports in Tanzania they will still struggle to reach half of Mombasa port.
 
Back
Top Bottom