Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FK1cpJmWYAUd_k8.jpg

Angalia mji huo usishangae ukajikwaaa bure uko kunyani DAR ni safu na nzuri sanaaaaaaaaaaaaa... napenda TZ
 
Matunda ya kufungua Nchi 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220927-131947.png
    Screenshot_20220927-131947.png
    75.8 KB · Views: 20
  • Screenshot_20220927-132020.png
    Screenshot_20220927-132020.png
    56.5 KB · Views: 21
Mama anazidi kumwaga fursa kwa vijana kwenye sekta ya Elimu,zaidi ya ajira 42,000 sio mchezo 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220926-213044.png
    Screenshot_20220926-213044.png
    80.9 KB · Views: 23
Royal tour inazidi kuchanja mbugha kila pande ya Dunia 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220929-195100.png
    Screenshot_20220929-195100.png
    127.5 KB · Views: 20
  • Screenshot_20220926-212928.png
    Screenshot_20220926-212928.png
    120.2 KB · Views: 18
Haters watakwambia pesa nyingi inatumika Hatuoni matokeo 😁😁.

Samia anazidi kuweka rekodi juu ya rekodi 👇
 

Attachments

  • 20220928_223846.jpg
    20220928_223846.jpg
    67.6 KB · Views: 24
  • 20220928_223825.jpg
    20220928_223825.jpg
    85.3 KB · Views: 25
Ruto alijipeleka kwa Biden kuomba msosi wa njaa wakati Foreign Minister wetu amealikwa na Biden na kuandaliwa State banquet White House 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220930-070050.png
    Screenshot_20220930-070050.png
    88.5 KB · Views: 22
Watakwambia wao ndiyo wanaongoza kwa cement consumption ukiwaomba waoneshe miradi wanayofanya wanakuletea apartments [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kwani apartments ina consume hewa kilaza?.., yaani siku zote unabakia kuwa zuzu tu.., when will u get informed?.., Tanzania ni fukara, hizo projects zenu kubwa kubwa zinajikokota miaka nenda miaka rudi, ina maana ata consumption ya cement par year ni kidogo sana.., watchman rudi shule utuondolee aibu humu 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Kwani apartments ina consume hewa kilaza?.., yaani siku zote unabakia kuwa zuzu tu.., when will u get informed?.., Tanzania ni fukara, hizo projects zenu kubwa kubwa zinajikokota miaka nenda miaka rudi, ina maana ata consumption ya cement par year ni kidogo sana.., watchman rudi shule utuondolee aibu humu 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Apartments zenu zote nchi nzima hazifiki hata nusu ya cement inayotumika kutengeneza sleepers, culverts, bridges, overpasses, viaducts, stations za kipande kimoja cha SGR Tanzania na vipande vinne vipo kwenye ujenzi
 
Back
Top Bottom