Ripoti hio hio ya WB inayosema "
enabled Tanzania to achieve one of the fastest electricity access expansion rates in Sub-Saharan Africa."
Ripoti hio hio inasema Kenya ndo iko na the fastest electricity access expansion in Africa... So Tanzania is one of the fastest in Sub-Sahara Africa lakini Kenya ndo fastest kushinda zote!
View attachment 2372383
Kama unavyoona hapo juu, Kenya iko na watu 15 Million ambao hawajapata uwezo wa kufikiwa na stima, Wakati Tanzania ni 36 million.
Kenya, 71% ya wakenya wamefikiwa na umeme wakati Tanzania mmefika 40% mwaka huu.
Kenya ikiwa na 5.2% growth rate increase access to electricity ndo inaongoza, ikifwatwa na Uganda(3.0%) , Ethiopia(2.6%) alafu ndo Tanzania(2.5%)...... Kwahivyo hio tweet ulioweka inayosema "has
enabled Tanzania to achieve one of the fastest electricity access expansion rates in Sub-Saharan Africa." inaongelea kuhusu hio 2.5% yenu ambayo inawafanya muwe namba 4 sub-sahara Africa baada ya Kenya, Uganda, Ethiopia !
Tena kumbuka Kenya tayari asilimia kubwa iko na umeme na bado tunaongoza % rate ya wateja wapya... Ikija kwenye orodha ya top 20 least electrified countries, Kenya haimo kwenye hio list, Lakini Tanzania imo at only 40% electified by 2022
View attachment 2372395
View attachment 2372407
View attachment 2372408
Source
Access comprehensive yearly energy progress data, along with videos, datasets, and previous editions. Download now for valuable insights and analysis. Download complete yearly energy progress data, including videos and datasets. Explore previous editions for a thorough understanding of energy...
trackingsdg7.esmap.org
Kwahivyo ikija kwa hili swala la umeme, Watanzania msijaribu kujilinganisha na Kenya, tumewaacha mbali sana, Uganda ndo size yenu, na mkizubaa nao pia watawaacha nyuma, Mwanzo museveni akishaondoka kutaingia nguvu mpya!