Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeandika upumbavu gani we jamaa.? 🤣🤣🤣.. miradi yetu ni sawa na miradi yote ya nchi za EA zilizobakia na bado hamutatuweza.. hapa nimetaja SGR pekee. Kama ni bridges sisi ndio baba wa hizo kazi EA .. sitaji miradi mengine yoyote .. ni dhambi kuendelea kutaja kwasababu huna cha kunijibu
Sasa ni ngapi imekamilika? mengine ni kwa makaratasi tu nyambaff😂😂😂😂😂😂😂😂😂na kwa sasa ni percentage ngapi ya hiyo miradi imejengwa? unajua so far imekula cement kiasi gani ama unakurupuka tu kujifurahisha? mbona wewe boya hivi? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ., so far kwa yale yote mmejenga ya hiyo miradi yote ambayo mmepanga kujenga, haijakula cement more than Kenyan completed projects ya hivi majuzi.., ama unabisha tuende ground step by step??..,
 
🤣🤣🤣🤣 Unaweza leta miradi yenu yenye mmejenga in recent years.. 2017-2022. Ili tuone ni nani ame consume cement zaidi kwa kipindi cha hiv karibuni.?
 
🤣🤣🤣 Mpumbavu sana we jamaa, haya meza matapishi yako sasa
Kusema " hii(what is there already) haifiki nusu yake" ni kusema "haitawai" ? wewe ni zero kwa akili kabisaaa.., we are talking about yale ambayo msha consume.., sio future.., nilikuelezea unionyeshe sehemu niliandika haitawai kama ulivyo sema.., nyambaff..., ukipata nafunga account na kuhama jf 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
🤣🤣🤣🤣 Unaweza leta miradi yenu yenye mmejenga in recent years.. 2017-2022. Ili tuone ni nani ame consume cement zaidi kwa kipindi cha hiv karibuni.?
Umejinyonga kilaza.., serikali yenu iko sahihi na data.., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Tena kwa miradi ya hiv karibuni 🤣🤣🤣 2017-2022 Usije unajaribu kuleta matako yako utaumbuka.. wewe kima Don YF .. miradi yetu yote ni mipyaa
Ndio mnatoka porini nyani, na bado consumption ya cement yetu ya nusu mwaka ndio yenu ya mwaka.., 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
🤣🤣🤣🤣 Unaweza leta miradi yenu yenye mmejenga in recent years.. 2017-2022. Ili tuone ni nani ame consume cement zaidi kwa kipindi cha hiv karibuni.?
Sasa kwa vile wewe ndio mbishi, leta evidence from 2017 to 2022.., all projects tuone.., mimi nitaweka list na picha even clips ukitaka na Google earth kote kote na pia niweke na Tanzania., haya prove us wrong na pia pinga data ya Tanzania tuone...,
 
Unaweza ukaingia kingi pale wakenya wanavyokupanga kuhusu apartments[emoji28][emoji23]

4% ya majengo yote Kenya ni Very dangerous kwa kuishi

73% ni majengo ambayo sio kwa salama kuishi

8% ni majengo ambayo ndo angalau

15% hawa tu ndo wako salama (Kenya nzima)

Sababu ni zilezle cement kijiko kimoja mchanga debe[emoji28]. Bado wanakwambia apartments zinatumia sana cement[emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 2372354View attachment 2372358
Wazee wa data wanapita kama hawajaona kitu[emoji23]
 
Kwenye nafasi 117 za duni Tz yunashika namba 107..
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Sababu zinazosababisha tuwe hapo ni:
Kasi Ndogo na Gharama Kubwa za Intaneti, Usalama na Sera za Nchi, Upatikanaji wa Huduma za Uhakika na Udhaifu wa Miundombinu ya Kielektroniki

Soma - RIPOTI: Tanzania ni kati ya nchi zenye maisha duni ya Kidijitali duniani

#DigitalRights
FB_IMG_16645376404767917.jpeg
 
Sasa kwa vile wewe ndio mbishi, leta evidence from 2017 to 2022.., all projects tuone.., mimi nitaweka list na picha even clips ukitaka na Google earth kote kote na pia niweke na Tanzania., haya prove us wrong na pia pinga data ya Tanzania tuone...,
Anza twende kazi
 
Anza twende kazi
Wewe ndio unapingana na ukweli, so tuonyeshe kua uko sahihi ata zaidi ya media zenu kwa kuweka evidence....., mimi nitakujibu kikamilifu, with strong evidence kutoka Tanzania na Kenya ata kwa kutumia google earth kuonyesha dunia ground kote kote, so dhibitisha kauli yako dogo..,
 
Naanza hapa miradi mikubwa ndani ya Dar iliyojengwa na inayojengwa Kati ya mwaka 2017-2022.

1. Ubungo interchange (3 level)
2. Mfugale flyover
3. BRT phase 2 with a good no of bus terminals
4. Concrete roads
5. Markets .. kisutu, Market, Magomeni markets and more
6. Tazanite bridge
7. Expansion of new kimara kibaha road with 3 overpasses
8. Magufuli bus terminal
9. Mwenge bus terminal
10. Mawasiliano bus terminal
11.New Chang'ombe flyover
12.New Uhasibu flyover
13. New bandari flyover
14. Expansion of new Mwenge-Moroco road
 
Back
Top Bottom