tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yetu machoHuyu mama anakopa sana, dah!
Ndio athari za kuwa na rais aliye fail shule na kurudi RUDIA!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yetu machoHuyu mama anakopa sana, dah!
Ndio athari za kuwa na rais aliye fail shule na kurudi RUDIA!
Angekua ametokea Dar wakenya wangeenda UN kusema TZ tunatengeneza UngaAsee
Iyo sio kweliYah zinaingia mfukoni.
Ingekua kweli msingekua na njaaMcMillan Library in the background, Foreground is Kenyan made Kibo motorcycles. Nchi ya masomo na viwanda.View attachment 2371025
Record ya nn?Hakuna Rais atakuja kuvunja rekodi ya Magufuli hapa Afrika kwa miaka ya hivi karibuni.
Inabidi sahv usome masters ndio uwe na uhakika wakupata nafasi Regional Hosp mana MDs wanahitajika Health centres ndio priorityA public hospital in Njombe
hii ingekuwa Kunyaland wangeita levo seveni sepermega megamodern teaching superhospital View attachment 2371040
View attachment 2371041
View attachment 2371042
Iyo beer ni grade ya mwisho kwenda chini, umekosa kabisa hela ndio unywe iyo
Niko nakimbizana na maisha sina muda na mambo mengine.hivi kusema "niko les na maisha" ina maana gani bongoland? niliwai pia sikia daz mwalim na jaffarai waki rap vile..... "niko les"[emoji848][emoji848][emoji848]??
Ni bei gani???
Katika watu wote waliochaguliwa na CAF wao wamewaona Watanzania tu?
Hii si dispensary? Haya leta ya Turkana county!
Mambo ya hospitali tumewashinda mbali, sijui Mbona Huwa mmekazana when you know very well that Tanzania is always behind Kenya.Hii si dispensary? Haya leta ya Turkana county!
ok.. 🤔🤔 swadakta! hapo ndipo masera👍🏽.. nimekupata kabisa. yani sasa leo naweza connect 'les' na 'race' maana 'r' na 'l' in bongo is used interchangeably.Niko nakimbizana na maisha sina muda na mambo mengine.
[emoji28]Angekua ametokea Dar wakenya wangeenda UN kusema TZ tunatengeneza Unga
Sio "les" ni "race"hivi kusema "niko les na maisha" ina maana gani bongoland? niliwai pia sikia daz mwalim na jaffarai waki rap vile..... "niko les"🤔🤔🤔??
We ni mlevi sio bure,hapa hatuzungumzii mlima, tunazungumzia jina "Kibo"Hivi mlibuni mlima?🤣🤣
Wangeita hata kibera..We ni mlevi sio bure,hapa hatuzungumzii mlima, tunazungumzia jina "Kibo"
OkayMbona jibu rahisi iliwashinda kupost? kulikoni?.., ni nyote mnajitoa ufahamu due to blind patriotism, kukubali ukweli ni tatizo kwenu, ukweli mchungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmetia adabu.,
Tutafute pesa mengine hayana maana unakuta unaonesha majengo mazuri yawenzio tu huku unakaa chumba kimojaArusha ni tourist City haiwezi kuwa na residential apartments zenye ziko kama Kambi za wakimbizi au mabweni ya watoto wa shule..[emoji2][emoji2]