Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,946
- 34,994
Itakua safi sana,wangetoa terminal kama schiphol ingekua poa sanaUsimalize maneno, ukarabati wa Terminal 2 unaanza soon na Wafaransa walisema watatoa kitu Terminal 3 itasubiri…….sasa tulia, kutangulia si kufika au mmesahau kwenye reli?😅