The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Ata bei anajua basi, slum dweller huyo.Ni bei gani???
Ata bei anajua basi, slum dweller huyo.Ni bei gani???
Anaamini katika kukopa kuliko usimamizi,Huyu mama anakopa sana, dah!
Ndio athari za kuwa na rais aliye fail shule na kurudi RUDIA!
Mkipata local market kenya nzima kama hili la kisutu,ndiyo uje tena kuongea ujinga
Mkipata local market kenya nzima kama hili la kisutu,ndiyo uje tena kuongea ujinga
Hii Kenya ni mall.Mkipata local market kenya nzima kama hili la kisutu,ndiyo uje tena kuongea ujinga
Hili godown ni la nini?How do you start comparing Kisumu which can't even accommodate 1,000 traders to this giant?.
View attachment 2371405
Mzee, naona EACOP inafifia.., hapa UG/Tz mnahitaji jeuri ya Pombe Magufuli la sivyo hii pipeline na petrodollars itabakia ndoto..,Hii si dispensary? Haya leta ya Turkana county!
Are you sure that has no 1000 traders?How do you start comparing Kisumu which can't even accommodate 1,000 traders to this giant?.
View attachment 2371405
European union mambo ya waafrica yanawahusu nini...Mzee, naona EACOP inafifia.., hapa UG/Tz mnahitaji jeuri ya Pombe Magufuli la sivyo hii pipeline na petrodollars itabakia ndoto..,
View attachment 2371429
View attachment 2371432
Ni kweli hapo mkanganyiko ni r (race),na wanaandika lesi kabisa usiumize kichwa manzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ok.. [emoji848][emoji848] swadakta! hapo ndipo masera[emoji1417].. nimekupata kabisa. yani sasa leo naweza connect 'les' na 'race' maana 'r' na 'l' in bongo is used interchangeably.
..tht has been a ?puzzle for me, for many yrs[emoji848] ..imagin since 2003!
Degree yake ya kwanza ni Public Administration kwa kauli yake yeye mwenyewe.Hotuba ya leo chama cha Mawakili wa Serikali. 29.09.2022.Ana degree ya nn kwan mama etu maana cjawai jua ...msaada kwa anaejua jamn
Hata ikianza abiria bado ni wengi sana ,uhakika wa soko ni uhakika. Halafu italeta ushindani kwa routes ambazo hazina SGR ile mikangafu yao wataiondoa na kupeleka mabasi mazuri.Hawa wasafirishaji hawahofii SGR iko mbioni kuanza? Kuna mkunya alisema basi zetu zinatoka kunyaland
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji10][emoji38][emoji38]Ata bei anajua basi, slum dweller huyo.
Akina mama na VICOBA na mikopo sijui wana nini navyo kwa kweli [emoji41][emoji41][emoji1]Anaamini katika kukopa kuliko usimamizi,
Yaani kwake mkopo ndiyo maendeleo ya taifa
Magufuli mwingine tutampata wapi haraka haraka hivi ili aokoe jahazi [emoji848][emoji848][emoji2955][emoji2955][emoji2955]?Mzee, naona EACOP inafifia.., hapa UG/Tz mnahitaji jeuri ya Pombe Magufuli la sivyo hii pipeline na petrodollars itabakia ndoto..,
View attachment 2371429
View attachment 2371432
Wameona wanakaribia kumshinda Putin so gas na mafuta wataendelea kuyapata tu kutoka Russia hawana haja tena na mafuta ya Africa. Waafrika mkiwa na vyanzo vikubwa vya income hatawategemea tena kuwaomba msaada, wanatufifisha kiuchumi.European union mambo ya waafrica yanawahusu nini...
Mbona hawa watu wana roho mbaya kiasi hiki
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Police wa kunyaland hata kuarrest hawajui, wapo kama migambo