Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni kilaza kweli.., Eastlands ya Kisumu ni Lolwe, Migosi, Mambo Leo, Kibos, Carwash etc.., Lolwe iko ndani yake..,
Kwa mtazamo wako hii density yote ni hiyo Lolwe unataja?.., na hata Mambo leo iko nje, Kibos area haijaguswa.., na ujue hapa sio town(hakuna CBD), ni makazi ya raiya wa Kisumu kwa wingi.., Lolwe iko hapa chini kwa foreground..,kule mble ni Migosi na Kondele to Carwash kwa background.., Kenya sio size yenu,.., hapa sio Mombasa wala Nakuru, just imagine.,
View attachment 2339518
Unajiaibisha.
 
Ila kuanzia leo hutaleta shobo tena na ARUSHA mtuache, ARUSHA can even beat mombasa in so many ways
Uendazimu wako umeingia na bado ni asubuhi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Uendazimu wako umeingia na bado ni hasubui😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tunaongeaje na mate wakati wino upo.? 🤣🤣🤣🤣🤣 Hapa ni ground tu
 
Tumegoma kuzalilisha EA's tourism capital na ujinga unaoitwa kisumu.. hiyo discussion ni aibu tu.. tumeishia hapo.. mkitaka battle za mji wenu tuna Moshi town is there to compete Kisumu not otherwise..
Kabisa ,tena moshi yenyewe ni bora kuliko kisumu
 
Battle between nairobi na Dar iliisha zamani, tunangoja miaka ishirini na tano mbele, kisha tutajadiliana.., kwa sasa tunaumbua propaganda na kuweka mambo sawa..,
Dar ni half world class city cz ina zaidi ya 60% za infrastructures zote zinazopatikana ulaya.
 
Dar ni half world class city cz ina zaidi ya 60% za infrastructures zote zinazopatikana ulaya.
Akili za GDP ya $150B reasons anything..., endeleeni kunifunza lugha tukufu la Kiswahili., 😂 😂 😂 😂 😂
 
Moshi

images - 2022-08-30T103247.291.jpeg
images - 2022-08-30T103129.848.jpeg
images - 2022-08-30T103141.357.jpeg
this-was-home.jpg
images - 2022-08-30T103327.004.jpeg
 
Tunaongeaje na mate wakati wino upo.? 🤣🤣🤣🤣🤣 Hapa ni ground tu
Nyote mliandika kwa "mate", hakuna aliye jibu Kisumu kwa "wino".., domo domo na kupost kile hamjaitishwa.., mlikwepa battle😂😂😂😂😂😂😂., yaani mlikosa jibu TKO!!
 
MWANZA VS ARUSHA..., 😂😂😂😂😂
 
Hilo ni zee la kujitoa ufahamu 🤣🤣🤣
Mbona jibu rahisi iliwashinda kupost? kulikoni?.., ni nyote mnajitoa ufahamu due to blind patriotism, kukubali ukweli ni tatizo kwenu, ukweli mchungu😂😂😂😂 mmetia adabu.,
 
Back
Top Bottom