Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alianza mkapa, nchi hii ni vitu vingi vilikuwa planned Jpm alikuwa na uthubutu, huo uthubutu ndio vision, mbona wengine walishindwa?
Bila Jpm dodoma tunayolinga Leo isingekuwepo.
Sidhani kama kuna Raisi angejenga 3.2km Bridge.
Hii sgr yetu ingejengwa kama ya kenya, only kama ingejengwa, ila kwa sababu ya vision alibadili design, ndio maana wanafanya design and build maana ya kwanza ilifutwa ikawa ya umeme na speed kubwa na axle load kubwa na behewa za kisasa sio kama kenya, ukumbuke reli yetu kuwa ya kisasa kumefanya mchina autelekeze mradi wa kenya.

Plan ilikuwepo Toka Nyerere ila sidhani kama kuna raisi angefanya uthubutu wa kujenga Bwawa la Nyerere.
Meli kwenye maziwa zilishakufa siku nyingi hakuna Aliyekuwa anaweza kukarabati wala kujenga mpya.
Wilaya nyingi zilianzishwa bila kuwa na majengo ya utawala jamaa alikuwa anajenga.

LIST ni ndefu hospitali, masoko, vituo vya afya, stendi, barabara mpaka kwenye miji midogo.
Ununuzi wa ndege, daraja la Wami, pangani etc.

Ulishawahi kufikiria endapo Jpm angefariki mwaka wa kwanza tu wa awamu yake ya kwanza yaani 2016, Je haya yote yangekuwepo.

Sasa hivi baadhi ya vitu vimeanza kusahaulika Toka afe.
Mfano ujenzi wa treni za mjini dar na dom, ujenzi wa metro Dom nk

Naamini angekuwa hai angekuwa ameshafikiria vitu vingine vikubwa zaidi.
Yes urais ni taasisi ila vision huwa ni kitu binafsi.

Well said.

Ni mkweli mtupu hata Rais Mwinyi amesema haya mara nyingi hadharani. Ni wale, waleeeeeee kwa sababu za ************ ndio wako bize kuongea vibaya ila hata huyo Samia ile tuzo alienda kuichukua Ghana ya Miundombinu aliweka bayana, kuwa Magufuli ndio BABA wa miundombinu Tanzania. Ile Ngoma ingpiga 10, ilikua ni balaa!
 
Well said.

Ni mkweli mtupu hata Rais Mwinyi amesema haya mara nyingi hadharani. Ni wale, waleeeeeee kwa sababu za ************ ndio wako bize kuongea vibaya ila hata huyo Samia ile tuzo alienda kuichukua Ghana ya Miundombinu aliweka bayana, kuwa Magufuli ndio BABA wa miundombinu Tanzania. Ile Ngoma ingpiga 10, ilikua ni balaa!
Hakuna Rais atakuja kuvunja rekodi ya Magufuli hapa Afrika kwa miaka ya hivi karibuni.
 
A public hospital in Njombe
hii ingekuwa Kunyaland wangeita levo seveni sepermega megamodern teaching superhospital
IMG_7382.jpg

IMG_7383.jpg

IMG_7384.jpg
 
ila 🎼 riziki ni popote mtu wangu zidisha piga mbwata.!.. mtanzania.! na ofisi ni miguu yako.. tafuta utapata.!....🎶🎼

hivi kusema "niko les na maisha" ina maana gani bongoland? niliwai pia sikia daz mwalim na jaffarai waki rap vile..... "niko les"🤔🤔🤔??
 
Mbona unalazimisha that godown to be in the same level with the mighty JKIA and Bole? JNIA will take years to get to where JKIA is currently.
Duniani hakuna facility yoyote kunya Land itakaa sahani moja na JNIA likija suala la modernity .. sio kwasasa manzee mujipange sana.. hiyo record tutaivunja wewenyewe after we gon get Msalato international airport done
 
Back
Top Bottom