Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,389
- 17,644
Mkuu aliyeplan kujenga SGR ni JK,aliyeanza ni JPM anayeendrleza ni Samia atakayemaliza simjui.
Leo hajakupa picha kutoka kwenye makabrasha yake kama ushahidi alijenga SGR?
Mkuu aliyeplan kujenga SGR ni JK,aliyeanza ni JPM anayeendrleza ni Samia atakayemaliza simjui.
naona mifuniko ya septic tanks! sewage inapita kwa chini!! Tegemea mafuriko ya mavi at checking in point as Kunyaland manifests itself!! 🤣 🤣 😳 😳 👆 👆Hapa JNIA itangoja miaka mia moja walai.., 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2370349
View attachment 2370353
View attachment 2370354
Banda la kuku vs JKIA.., lets see from the same perspectives..,Jiulize kwnn hawapost bila make up wanaogopa nn, kwa jina lingine inaitwa vumbi airport [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2370216
😂 😂 😂 😂 😂 😂 wacha wivu bana., 😝naona mifuniko ya septic tanks! sewage inapita kwa chini!! Tegemea mafuriko ya mavi at checking in point!! 🤣 🤣 😳 😳 👆 👆
Is this a mall? Mambo ya masoko tuliwaambia muachane nayo kabisa.Yes the malls!
JNIA will never get to the level of JKIA. Kwanza hiyo interior design ya Terminal 1B and 1C has no competitor in the region.Hapa JKIA imenyonga JNIA for life.., hawatapata jibu hivi karibuni.., kama tu expressway..,
Ingoje nn tenaHapa JNIA itangoja miaka mia moja walai.., [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 2370349
View attachment 2370353
View attachment 2370354
To level upIngoje nn tena
Mnaweka filter sana kwenye video zenu na picha zenu...Ngoja miaka 25 mbele kisha uje..., hekaya za abunuasi wacha
Hayo matent ya nn???Mnaweka filter sana kwenye video zenu na picha zenu...
Nairobi ni kuchafu na kubaya sana in reality..na nyie mnajua hilo...
Check moi avenue ya hapo cbd yenu kulivyo kuchafuView attachment 2370406View attachment 2370407
How While Capacity Wise its bigger than JKIA ..and its not like it does not have the facilities ambazo zipo JKIA...nyie ni old terminal mmefrub ..na hata capacity sijui kama imeongezeka ..just new ceeling na paintsTo level up
Tunakuonyesha video clips za 2022 September, ukweli inakuuma sana, unatamani isikue ni ukweli, yaani pana ng'aa unadhani ni filters, nyambaff, wivu weka pembeni, kumekucha.Mnaweka filter sana kwenye video zenu na picha zenu...
Nairobi ni kuchafu na kubaya sana in reality..na nyie mnajua hilo...
Check moi avenue ya hapo cbd yenu kulivyo kuchafuView attachment 2370406View attachment 2370407
Alianza mkapa, nchi hii ni vitu vingi vilikuwa planned Jpm alikuwa na uthubutu, huo uthubutu ndio vision, mbona wengine walishindwa?Mkuu aliyeplan kujenga SGR ni JK,aliyeanza ni JPM anayeendrleza ni Samia atakayemaliza simjui.
You must be ignorant ama unajitoa ufahamu, eti capacity wise, hiyo propaganda ya CCM usiniletee hapa na vitu vinaonekana wazi, zoea kukubali ukweli ata kama inauma itabakia pale pale, JNIA is way below JKIA and soon what is coming up in Rwanda by Qatar Airways will be above JNIA.., mtanyooka tu.,How While Capacity Wise its bigger than JKIA ..and its not like it does not have the facilities ambazo zipo JKIA...nyie ni old terminal mmefrub ..na hata capacity sijui kama imeongezeka ..just new ceeling na paints