Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Jinyonge.Nlisha kwambia unapost vitu vya miaka 47 unarudia tyu huo ni ukosefu wa akili,,.
Jinyonge.Nlisha kwambia unapost vitu vya miaka 47 unarudia tyu huo ni ukosefu wa akili,,.
kuna kitu wanatega yaani wanaanza kama chambo!Viongozi hawana dira
Bandari zilizopo zinapokea mizigo kidogo sana instead waziboreshe kwanza wanakimbilia kujenga bandari ingine.
Iyo pesa wangejenga Barabara yani tunazidiwaje Barabara na nchi kama kenya surely
Bora waongeze vifaa hilo meli zisipaki mda mrefu kwenye bandari zilizopo . Pia kuwe na mechanism ya kuondoa makasha bandarini on-time haswa train mzigo usijae bandarini .Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa, amesema hawatalazimika kusubiri zaidi Wawekezaji wa mradi wa Bandari ya Bagamoyo na hivyo Serikali itaanza ujenzi
Soma - Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanza rasmi 2023
#ServiceDeliveryView attachment 2367570
their was a tyme I use to tell them hear everyday that, the fact that we have a significantly high gdp compared to them and with a smaller population than them,
Huwa tunawatengenezea mpk t-shirt za kampeni za urais.
Hakuna na haitawahi tokea kijiji chochote hapa East and Central Africa kifanane na kkoo kwa maghorofa, hakuna na haitokaa itokee.Gorofa za three floors [emoji23][emoji23]
Hakuna na haitawahi tokea kijiji chochote hapa East and Central Africa kifanane na kkoo kwa maghorofa, hakuna na haitokaa itokee.
Hehehehe kweli wewe ni mtumishi wa umma, yn umeshindwa kuelewa nilichosema [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Thibitisha ya kwamba Tz GDP ni kubwa kuzidi Kenya ,tuachane sasa na taarifa za mashirika ya kimataifa kama WB,IMF ,tufanye sasa wewe ndio final say ,even our gov officials wanasema waziwazi bila ubishi kenya wametuzidi ,Na iyo sio kazi yako ama kazi yangu kubisha ama kukataa huo ndio uhalisia
Sasa ingia kwenye uhalisia baba ndio utajua kwann motivational speaker kazi yake ni kuongea tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wachaga wanapapenda wilaya ya ubungo sijui wana vinasaba gani na hili eneo [emoji3],ila mkuu kimahesabu biashara ya maziwa huku mitaani inalipa sana,wanywaji ni wengi,ng'ombe asiezidi laki 7 ana uhakika wa kukuingizia elfu 15 kila siku iwapo utampa matunzo mazuri,while mwenye boda boda ya m 2.8 anaingiza elfu 7 kwa siku,huku mitaani maziwa ukichelewa kuweka order upati ni biashara nzuri sana
Should I bring you speakers for you so that you can scream loud enough for everybody to hear?Hako kajengo ka kenya ni 120m tall, with 30floor, plus 80m antenna. Trying hard to chill with big boys [emoji3]
Unaongea na debe shinda mkuu, kasifiwa hayuko biased basi ndiyo kawehuka kabisa.Kuwa na GDP kubwa na cement consumption vinahusiana vipi mzee .? [emoji1787] Heb tumia hata akili kidogo, tuko na miradi mikubwa kuliko mataifa yote yaungane pamoja, na miradi yetu yote inajengwa simultaneously , mbona ni vitu vinavyookana kwa macho ya kawaida tu.. Tandale tu Iko barabara za zege kibao karibu kila kona, mji wote wa DODOMA ni mpya 70% ya nyumba zote za DODOMA na facilities zengine za serekali zimejengwa kati ya 2017-2022 .. hao jamaa zetu so kila kitu Chao wanapost humu .?
Should I bring you speakers for you so that you can scream loud enough for everybody to hear?
Is it not part of the building structure?Assume we ignore antenna [emoji3]
View attachment 2367758
It's taller than any tower in Tanzania.How many stores are in that house ?
Huyu mnuka mavi ameipenda kweli kweli jamiiforums, lkn nadhani pia ni ukosefu wa issue unamfanya kufikiria JF 24/7 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jinyonge.