Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani miradi yote tunayofanya lkn bado umekazana na paper GDP, ngoja nikupe mfano mmoja, niambie kati ya China na US nani mwenye GDP kubwa na nani mwenye cement consumption kubwa? View attachment 2367190View attachment 2367191
Thibitisha ya kwamba Tz GDP ni kubwa kuzidi Kenya ,tuachane sasa na taarifa za mashirika ya kimataifa kama WB,IMF ,tufanye sasa wewe ndio final say ,even our gov officials wanasema waziwazi bila ubishi kenya wametuzidi ,Na iyo sio kazi yako ama kazi yangu kubisha ama kukataa huo ndio uhalisia
 
Umezungukwa na wachaga [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787]
Wachaga wanapapenda wilaya ya ubungo sijui wana vinasaba gani na hili eneo 😀,ila mkuu kimahesabu biashara ya maziwa huku mitaani inalipa sana,wanywaji ni wengi,ng'ombe asiezidi laki 7 ana uhakika wa kukuingizia elfu 15 kila siku iwapo utampa matunzo mazuri,while mwenye boda boda ya m 2.8 anaingiza elfu 7 kwa siku,huku mitaani maziwa ukichelewa kuweka order upati ni biashara nzuri sana
 
Skia..yes gdp ni vitu ving na cement consumption ni kitu kimoja..hivi unajua madaraja mangap ya najengwa TZ , plus roads , plus sgr bado hujaweka private construction , JNHPP ,rusumo falls..ports expansion.bus stand..bus stand zinakula concerte sana..majengo yoye yale ya serikali dodoma
Wewe umebase kwenye nchi yako tu kwahyo kenya ndio hawajengi nchi yao?
 
hivi wewe tuusan, sawa tu na alivyo kua Tony254, una roho ya kipekee sana kaka, tofauti zaidi na mtanzania wowote humu..
think the rest of us should also learn to give credit, where its due..
coz realy i don't see the need of criticising somethng, when u deeply inside, knw, this thing is not worse criticing, but complementing...

(i can only imagine such kind of sentiments coming from one, The best 007.. [emoji848][emoji848]... less hio siku jogoo itage mayai[emoji38][emoji38])

pokea zangu heko na kongole.. [emoji91][emoji1433][emoji1433]
[emoji109]
 
Wachaga wanapapenda wilaya ya ubungo sijui wana vinasaba gani na hili eneo [emoji3],ila mkuu kimahesabu biashara ya maziwa huku mitaani inalipa sana,wanywaji ni wengi,ng'ombe asiezidi laki 7 ana uhakika wa kukuingizia elfu 15 kila siku iwapo utampa matunzo mazuri,while mwenye boda boda ya m 2.8 anaingiza elfu 7 kwa siku,huku mitaani maziwa ukichelewa kuweka order upati ni biashara nzuri sana
Iyo biashara ni pasua kichwa sema kwavile ndio maisha tuliokulia kule vijijini, hapo kwanza upate shamba boy ambae yuko serious sana na kazi yake manake ng'ombe asiposhiba tu imekula kwako...Plus uwe na eneo la kutosha kuhifadhi na majani makavu yakuchanganyia...Sasa ili uione faida inatakiwa uwe unakamua walau ng'ombe 5 asubuhi na jioni ila chini ya ng'ombe 5 basi unafugia starehe tu.
Wachaga wanapenda kimara kwasababu Panafanana na Moshi iyo milima milima na ndio njia ya kwenda nyumbani ilipo
 
Wewe endelea kushabikia nchi yako, bakinkua mzalendo inatosha,mimi sipo hapa kushabikia upuuzi,nipo hapa kujifunza na kukubaliana na hali halisi,Simamia unachoamini kinakupa faraja
Kuwa na GDP kubwa na cement consumption vinahusiana vipi mzee .? 🤣 Heb tumia hata akili kidogo, tuko na miradi mikubwa kuliko mataifa yote yaungane pamoja, na miradi yetu yote inajengwa simultaneously , mbona ni vitu vinavyookana kwa macho ya kawaida tu.. Tandale tu Iko barabara za zege kibao karibu kila kona, mji wote wa DODOMA ni mpya 70% ya nyumba zote za DODOMA na facilities zengine za serekali zimejengwa kati ya 2017-2022 .. hao jamaa zetu so kila kitu Chao wanapost humu .?
 
Hakuna kinachoonekana ground .. mnatumia hiyo cement kufanyia nini au mnakula.? Au mnaona fahari kutaja namba kubwa tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nilifanya kazi miaka kadhaa kiwanda X cha kuzalisha cement nikiwa kama CRM.
Viwanda vya wakunya vingi vinategemea clinker kutoka viwanda vya Tanzania yaani kiufupi tusipo uza clinker kwenye viwanda vyao watatafutana.
Walichotuzidi ni kupika data tu.
 
Wacha Vichekesho kijana.. jitulize tu ... Kaa pale pembeni
One funny thing ni kuwa unapingana na statistics za serikali yako😂😂


Do you still want to know where our cement is going 😂😂👇
Screenshot_20220907-135259_1.jpg
Screenshot_20220907-135532_1.jpg
 
LAPSSET is an ongoing project, mtangoja sana ife lakini wewe ndio utakufa uiache kama Bado inaendelea.
Which project apart from Lamu port which has spent only $200M, hakuna nchi Wala kampuni lolote linataka kutoa pesa kufadhili LAPPSET kwasababu is hopeless idea.

Sema wapi mtatoa pesa kufadhili LAPPSET?. Ni zaidi miaka 10 Sasa tangu kuanza kwa wazo la LAPPSET, ni nchi gani imeshaonyesha Nia ya kuweka katika LAPPSET?[emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Which project apart from Lamu port which has spent only $200M, hakuna nchi Wala kampuni lolote linataka kutoa pesa kufadhili LAPPSET kwasababu is hopeless idea.

Sema wapi mtatoa pesa kufadhili LAPPSET?. Ni zaidi miaka 10 Sasa tangu kuanza kwa wazo la LAPPSET, ni nchi gani imeshaonyesha Nia ya kuweka katika LAPPSET?[emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_4195.jpg
 
Nilifanya kazi miaka kadhaa kiwanda X cha kuzalisha cement nikiwa kama CRM.
Viwanda vya wakunya vingi vinategemea clinker kutoka viwanda vya Tanzania yaani kiufupi tusipo uza clinker kwenye viwanda vyao watatafutana.
Walichotuzidi ni kupika data tu.
Kitu wanachotuzidi hawa jamaa ni kupika data tu
 
Ili ushindane na Tanzania inakubidi upike takwimu haswa haswa. [emoji23][emoji23][emoji23]
For sure, Ili ushindane nasi ni lazima upike data kweli kweli.. nchi kubwa hii bhana .. watu wanasema wako na cement consumption kubwa while kinachotengenzwa hakionekani 🤣🤣🤣. Ni story za kutengeneza nyumba eti kana kwamba sisi hatujengi hizo nyumba
 
Back
Top Bottom