Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Baboon at it again. Which projects are you undertaking to consume cement two times the amount Kenya consumes? This was a report from your government and it states that Tanzanian cement consumption for the full year is equal to Kenya's cement consumption for six months. Mnajenga dam moja sisi tunajenga sita. Nairobi alone build more houses than entire Tanzania. Tatu city is consuming more cement than dodoma, Mombasa is building more bridges than all of Tanzania. Kenya is building four times the number of roads that Tanzania build.

View attachment 2367316View attachment 2367317
Nlisha kwambia unapost vitu vya miaka 47 unarudia tyu huo ni ukosefu wa akili,,.
 
kuna mtu umu ni mjinga sana cjui mtakula GDP, au explesssssssssssssssss way,,,
 
277470870_567306170997760_1610453328032959238_n.jpg

tz MWANZA MAJI HOUSE,,, nyamagana
 
wanaringa na huyu Billionare moja☝🏽tu hivi!..
yani, hawana Millionares, na Centi-Millionares.. ni finyu sana. pwahaha🤣🤣🤣
huo unaitwa uchumi wa mabeberu na wenyewe wanafurahia sana na wanywa gongo na kalinyaaa
 
Mchezo wa ngumi umekua na muamke mkubwa sana.. tuko na bright future sana
Niliwahi pendekeza kwamba Serikali iachane na kutaka Tanzania ifaulu kwenye mpira wa Miguu kwa sababu hatuna vipaji huko na gharama yake ni kubwa badala yake waweke nguvu kwenye Michezo ifuatayo,

Ngumi,
Usanii yaani Bongo fleva na singeri,
Mpira wa wanawake,
Marathon na
Ligi ya mpira ya ndani Kwa kui brand tuwe na ligi Bora hata tomu zisipofanya vizuri ila tutakuwa na ligi inayovutia pesa.
 
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa, amesema hawatalazimika kusubiri zaidi Wawekezaji wa mradi wa Bandari ya Bagamoyo na hivyo Serikali itaanza ujenzi



Soma - Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanza rasmi 2023

#ServiceDeliveryView attachment 2367570
Viongozi hawana dira
Bandari zilizopo zinapokea mizigo kidogo sana instead waziboreshe kwanza wanakimbilia kujenga bandari ingine.
Iyo pesa wangejenga Barabara yani tunazidiwaje Barabara na nchi kama kenya surely
 
Back
Top Bottom