Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wale umaskini umezidi sana. Wale ni zaidi ya Kenya kwa umaskini. Wanaidadi kubwa ya Punda na sio ng'ombe wala mbuzi. In Ethiopia, kuna mpaka ambulance za Punda. Ni Usafiri wa watu na mizigo kama huko Lamu kwa maskini wenzao.
Hii taarifa nimeisikia kwako kaka sikuwahi kujua ni aina gani ya mifugo. Kwa umasikini ni kweli angalia watu wao wanaokimbia nchi yao ambao wanakamatiwa kwetu ni kubwa mno. Maisha kwao ni magumu sana.
 
Stop dreaming.

FRWamHlVsAAV1Nf.jpg
 
Hii taarifa nimeisikia kwako kaka sikuwahi kujua ni aina gani ya mifugo. Kwa umasikini ni kweli angalia watu wao wanaokimbia nchi yao ambao wanakamatiwa kwetu ni kubwa mno. Maisha kwao ni magumu sana.
Kwani nyinyi ndio hamkimbii nchi yenu?

16142807_screenshot202209201921351_jpeg2d418ebe49beea1865468e871e14fca8.jpeg
10940699_img20200122131301_jpeg5db56877069bffc2bdaaa0661defc606.jpeg
 
Me mwenyewe nashangaa watu wanavyobishana na kunyaland kwa kutumia statistics zao, ni uongo mtupu hakuna statistics kutoka kwao zinasema ukweli zote ni fake.
Inashangaza pia kuna watanzania humu wanakubaliana na hizo fake datas 🤣
 
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa, amesema hawatalazimika kusubiri zaidi Wawekezaji wa mradi wa Bandari ya Bagamoyo na hivyo Serikali itaanza ujenzi

Hatua hiyo inajiri baada Kampuni zilizoonesha nia ya kuwekeza katika mradi huo, China Merchants Holdings (International) Co Ltd (CMHI) na Mamlaka ya Uwekezaji ya Oman (OIA0) kujitoa

Soma - Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanza rasmi 2023

#ServiceDelivery
FB_IMG_16641011044866092.jpeg
 
Back
Top Bottom