Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Westy

20220925_175153.jpg
 
Nairobi flyovers zinapatikana all over the city na hatupigi makelele ju tumezoea.

20220925_180104.jpg
 
their was a tyme I use to tell them hear everyday that, the fact that we have a significantly high gdp compared to them and with a smaller population than them,
$114B-53M
vs
$67B-64M
yani hawana jinsi, coz watazidi kuona kenya ikiwakandamiza kwenye all economic aspects.. but ungewasikia wakilia eti.. "ooo, mara kenya, gdp ni ya mchongo", "mara gdp ya tz ni $150B.

takwimu kama hizi inaonesha wazi kabisa ni nchi gani ndo dorminant ukanda huu.
and again, they should not at any given tyme think tht, since nairobi and dar are close neighbours, and so they are close brothers....
hope they have witnessed with these rankings tht nairobi is eating in the same table with the big fish.. the likes of cairo, johannesburg, cape town and lagos only! wengine ni bonoko

just very few examples courtesy of teargasView attachment 2367748View attachment 2367738View attachment 2367739
Takwimu zako sio sahihi, takwimu za idadi ya watu za Tz umezitoa wapi?
 
Hehehehe kweli wewe ni mtumishi wa umma, yn umeshindwa kuelewa nilichosema [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nmekwambia USA ina GDP kubwa kuliko China, sasa niambie cement consumption kati ya US na China ipi kubwa kuliko mwenzie, kuhusu Tz na Kenya naomba wewe sasa ndiyo uthibitishe cement consumption yao ni kubwa kuliko yetu na uniambie wanajenga nini!! Mana usione sifa unapoambiwa hauko biased kumbe unasifiwa upumbavu na ujinga basi na wewe ndiyo unazidi kuwa mjinga kwa kukataa hata mazuri ya nchi yako.
Tuanze na USA vs China,USA ni developed country speed ya kujenga ni ndogo sana maana mambo mengi tayari yashafanyiwa kazi,China ni developing country so demand ya ujenzi ni kubwa kuliko US.
US inaspend pesa yake kwenye mambo mengine ambayo kwao ndio kipaumbele So hapo hakuna Hoja tena

Sasa kuhusu kenya na Tz takwimu zinapatikana kirahisi sana ni uvivu wako tu wakutafuta takwimu...Kwasababu Ke na Tz zote ni developing country kila moja inastruggle kukimbizana kulingana na vipaumbele vyake...Bahati mbaya kama hujui kenya private sector iko so strong kuliko ya Tz utapata hata makampuni ya real estate ni mengi kenya kuliko Tz, despite the fact that even GoK is working on roads,ports and housing more than we Do...

Kama wanabarabara 22,000Km paved na Tz tuna 13,000km Mpaka hapo tu huoni ni ujinga kujilisha upepo mnawazidi kwemye ujenzi?...

Nilikuona ukisema tunajenga bwawa,SGR na madaraja ni sawa kabisa Tuangalie budget za wizara ya Ujenzi kati yao na yetu na miradi inayotekelezwa na thamani yake ya pesa utapata majibu...
 
I'm going to provide the answer the bolded part. Shida ya hawa wenzako hawataki kukubaliana na ukweli, wanapingna Hadi na figures za serikali yao.
 
Viongozi hawana dira
Bandari zilizopo zinapokea mizigo kidogo sana instead waziboreshe kwanza wanakimbilia kujenga bandari ingine.
Iyo pesa wangejenga Barabara yani tunazidiwaje Barabara na nchi kama kenya surely
Kiukweli hatuna haja ya kujenga bandari mpya iwe kwa PPP au fedha zetu wenyewe hata kama ni miaka 50 ijayo.
Na kama ni PPP waje kwa ajili ya kuboresha zilizopo.

Serikali ya sasa imejikita kwenye kutaka kumoutshine Magufuli kuliko u halisia.
Sawa tunahitaji SGR lakini phase zote kwa wakati mmoja linganisha na uchumi wetu, ndio maana kuna vitu vinasuasua.

Miradi ya TACTIC imepigwa tarehe ianze march mwakani, sijui ili wakati inaishaisha iwe karibu na uchaguzi
 
TACTIC ndo mradi gani?
 
Which priorities does private sector has apart from construction and financial?[emoji23][emoji23]

Éducation, manufacturing, Agriculture (so that you Kunyans don’t starve to death), Healthcare service and delivery, etc.
Kwani unataka wajenge majengo marefu uje ukae Wewe na your salary is 20k ,
 
Éducation, manufacturing, Agriculture (so that you Kunyans don’t starve to death), Healthcare service and delivery, etc.
Kwani unataka wajenge majengo marefu uje ukae Wewe na your salary is 20k ,
You are talking here yet Kenya is among the top five countries in the world that drive your economy through FDI?😂😂

Screenshot_20220925-192330_1.jpg
 
Bado huelewi tu kuwa majengo yetu marefu yote si Mali ya mchina?
Gov parastatals plus pension funds own all the tall skyscrapers in our cities.
Yes, your private sector is dead. In Kenya, both the private sector and the government builds that's why Nairobi is second only to Johannesburg in Subsaharan Africa and Johannesburg and Cairo in the whole of Africa in terms of skyscrapers. Skyscrapers such as KICC, Times Tower, CBK Pension Tower, NSSF Building, UoN Tower, Teleposta, Nyayo House etc are government owned. Skyscrapers such as GTC, UAP, Britam, Prism, One Africa, LeMac etc are privately owned (Of those only GTC is owned by the Chinese btw). Hapo Bongo serikali isipojenga skyscraper hakuna mwenye atajenga. Considering your government built all the skyscrapers it needs between 2010 and 2020, it will be a very loooong time before Dar gets another skyscraper.
 
Back
Top Bottom