Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna kinachoonekana ground yet mnavuka border kuja kuomba huku Kenya? Tunawajengea buses, lories and ships. Tunaendesha uchumi pia.
Hakuna kinachoonekana ground .. mnatumia hiyo cement kufanyia nini au mnakula.? Au mnaona fahari kutaja namba kubwa tu 🤣🤣🤣
 
Hakuna kinachoonekana ground .. mnatumia hiyo cement kufanyia nini au mnakula.? Au mnaona fahari kutaja namba kubwa tu 🤣🤣🤣
Leo ni mafacts tu😂😂. This alone is more than the amount of cement you will ever use in your SGR.

Screenshot (50) (1).png
 
So far kinachoonekana ni Barth moja tu. 🤣🤣 Mpumbavu sana we jamaa
It's berth and not barth. Again Lapsset is not only Lamu port. Again for your information, Lamu port has three berths with a quay length of 1.2km, this is bigger than Dar port quay length 😂😂😂
 
Kwani concrete roads pekee ndio zinahitaji cement? You are not only a fool but a certified pro max fool😂😂😂.
We jamaa kumbe ni mpumbavu sana eeh 🤣🤣.. kiwango cha cement kitakachotumika kujenga this 50 km road ni equivalent na kiwango cha cement mtakachotumia kujenga hizo barabara zenu zote .. 👇.
 
Huku mbwinde kiluvya kuna majirani zangu kama 7 hivi wote wana ng'ombe na wanauza maziwa na bado uwa wanananishauri na mimi nifuge ng'ombe wa maziwa,maana bado hawatoshelezi matumizi ya uhitaji wa maziwa mtaani,hii inaonyesha ni namna gani wa TZ tunavyokunywa maziwa kwa wingi
Umezungukwa na wachaga [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787]
 
It's berth and not barth. Again Lapsset is not only Lamu port. Again for your information, Lamu port has three berths with a quay length of 1.2km, this is bigger than Dar port quay length 😂😂😂
🤣🤣🤣 Vichekesho vingine bhana
 
We jamaa kumbe ni mpumbavu sana eeh 🤣🤣.. kiwango cha cement kitakachotumika kujenga this 50 km road ni equivalent na kiwango cha cement mtakachotumia kujenga hizo barabara zenu zote .. 👇.

Your government doesn't agree with you 👇👇

Screenshot_20220921-143735_1.jpg
Screenshot_20220921-195755_1.jpg
 
Wacha kuwa mjinga Bro, hata sie Tz tunajenga nyumba (individually) tena kwa kiwango kikubwa sana, and still tuko na miradi mikubwa mingi mno yenye thamani zaidi ya miradi yote EA .. kwa kinachoonekana ground ni clear kabisa that our cement consumption is at least two times to theirs.. hasa kwa kipindi Kati ya 2017-2022.. kuna miradi mikubwa mingi sisi tumejenga hiv karibuni tu .. kwa hili Bro [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kaa kando
Wewe endelea kushabikia nchi yako, bakinkua mzalendo inatosha,mimi sipo hapa kushabikia upuuzi,nipo hapa kujifunza na kukubaliana na hali halisi,Simamia unachoamini kinakupa faraja
 
Back
Top Bottom