Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Proud of Kenya..tushaanza kutengeneza body za marcopolo...pole pole tunapanda...

1663755040234.png
 
Hili dude limeanza kazi hapo karibu na kwa mfugale, naona ni site Clearance.

View attachment 2363074
Mimi nashauri hii Phase 3 waanze kuipiga kuanzia TAZARA kuelekea downtown na kwa vile Mkandarasi ni huyo huyo wa Phase 2 ni rahisi kwa mobilization lakini mostly important wanalize kero city centre mapema kwa kuunganisha hizo phase zote 2 kwa mara moja.
 

Najivunia Tanzania siku zote tuna tengeneza meli kubwa na vivuko na boats na tulisha anza kitambo sana... usitutishie izo buses za kugonga na nyundo..

Did you know that Tanzania Ports Authority buy their boats from Mombasa?
 

Najivunia Tanzania siku zote tuna tengeneza meli kubwa na vivuko na boats na tulisha anza kitambo sana... usitutishie izo buses za kugonga na nyundo..

kwanza waga mko na ship yard kweli ya kutengeneza meli..nikisema ship yard usinitajie vile vidimbwi zenu..yaani certified ship yard.
 
Actually Kenya serves the entire region. Uganda Police also got their bus from LSHS.

Screenshot_20220921-155719_1.jpg
 
Back
Top Bottom