Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimewahi kusafiri na basi toka Nairobi hadi Kampala, aisee mabasi ya Kenya ni mabovu, yaani kwa sisi huku route kama hiyo ya cross border bus ni LAZIMA liwe classy, lakini wenzetu mabasi yanayotumika ni yale huku kwetu unalikuta linatoka wilaya kwenda wilaya. Yaani ni aibu, kwenye mabasi wakae mbali kabisa.
 
Wewe unaezazidii mtu na Nini? Kwanza hata shule ndio hukukanyaga. Maybe Kuna watchmen wenzako unazidi but not me.
Huwa unachekesha ukianza kupost maisha yako halisi. Utasikia "this is last time I post my personal life here, the reason why am posting it's because you requested for it, next time if you want me to show you even my nails I won't show you "

Screenshot_20220906-163604.jpg
 
My best quote of the day:
The fact that as a Nation you are struggling with Unga 60 years of independence says it all about you.
You have serious internal issues to sort out,
Mbona sisi huko tukiahatoka miongo miwili iliyopita ?
That level of poverty sucks, sucks hard.
I would take you serious if you were from Finland. But mto kutoka nchi maskini kama Tanzania kuandika haya ni vioja tu. 🤣 🤣
 
I would take you serious if you were from Finland. But mto kutoka nchi maskini kama Tanzania kuandika haya ni vioja tu. 🤣 🤣
Mimi nimesoma maandishi yake nikaona hata haina haja ya kumjibu.🤣🤣

Yani wewe unaishi kwa hema na unamcheka mwenzio anaeishi kwenye grass-thatched hut.🤣
 
My best quote of the day:
The fact that as a Nation you are struggling with Unga 60 years of independence says it all about you.
You have serious internal issues to sort out,
Mbona sisi huko tukiahatoka miongo miwili iliyopita ?
That level of poverty sucks, sucks hard.
Kuwa kama mwenzio aliyemjibu. The reason Tanzanians don't protest is because you're weak and lack democracy, sio eti mko better.

Protesting over high food prices ni kitu cha kawaida hata kwa nchi zilizoendelea kama Marekani

Huwa unachekesha ukianza kupost maisha yako halisi. Utasikia "this is last time I post my personal life here, the reason why am posting it's because you requested for it, next time if you want me to show you even my nails I won't show you "

View attachment 2362365
Si hapo juu umesema you want to ignore me? How come less than a minute later you are again quoting me? It's obvious you can't escape my shadow.
 
Kuwa kama mwenzio aliyemjibu. The reason Tanzanians don't protest is because you're weak and lack democracy, sio eti mko better.

Protesting over high food prices ni kitu cha kawaida hata kwa nchi zilizoendelea kama Marekani

unaenda mitandaoni ku search some random clips to console your ego
these are absolutely two different cases,
Hao umeleta are protesting agains higher costs of foods and food products at large,
Nyie mnaandamana sababu ya bei ya unga wa mahindi (Unga wa ugali to be specific )

A staple food

You and I know that ongezeko la bei kwa ksh.10 kwenye kilo ya unga wa mahindi is a Kenya’s national-wide crisis.

Yaani bei ya Unga ilikuwa ni Agenda muhimu wakati wa campaigns za uchaguzi

Then, sisi huku huwa hatupambanii wanasiasa, let them fight among themselves and whoever becomes the winner takes the lead, wanasiasa wetu huku wote wanafanana.
Naona pia mmejifunza kwetu, a reason hamjachinjana this time around. You are now ignoring Raila with passion. That’s growth.
 
Any affordable housing projects to redeem informal settlements, where 70% of Dar residents live?
NHC wako na mradi wa Nyumba 2500 with in DAR, and this time around watawahusisha private sector kujenga hizo affordable houses .. kwahy tuwe wastahamilivu yajayo yanafurahisha
 
Back
Top Bottom