Tz_one
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 3,039
- 8,170
Yeah ndo maana lazima tuwe na mixed sources kama Gas plants , Solar na hata Geothermal ambayo hatujaanza hata kuitumiaUmeme wa Maji sio reliable kusema eti isije kutokea..
China kwenyewe kuna mgao wa Umeme sababu ya Ukame,kusema eti isije kutokea ni kitu haiwezekani hususani kipindi cha Ukame mkali..