Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwanza Nyegezi Bus stand

MY TAKE
No where in Kunyaland u can find a facility like this!
 
Boss, ndio hii dualed section ya Morogoro road kutoka Citymall inapoanzia hadi kibaha inapoishia na ni 32km. Wewe hizo 21+19 unatoa wapi?

222-jpg.2360154
nmeona its roughly 35km via Google maps to kivukoni .19+17
 
nmeona its roughly 35km via Google maps to kivukoni .19+17
Sasa mimi nimekupimia na Google maps nikakuwekea inaonyesha 32km alafu wewe unapinga bila evidence eti ni 35. Mwanzo ulisema 21+19. Hata hujielewi.
Kubali yaishe. Kwa dual carriageways Tanzania bado sana kwa Kenya. Nairobi Metro pekee ina dual carriageways zaidi ya mara mbili ya Tanzania nzima. Nikiongeza zila zinazojengwa ni mara nne. Nikiongeza zile zilizo mipangoni hata usisema - itakuwa kama mara kumi yenu.
 
Sasa mimi nimekupimia na Google maps nikakuwekea inaonyesha 32km alafu wewe unapinga bila evidence eti ni 35. Mwanzo ulisema 21+19. Hata hujielewi.
Kubali yaishe. Kwa dual carriageways Tanzania bado sana kwa Kenya. Nairobi Metro pekee ina dual carriageways zaidi ya mara mbili ya Tanzania nzima.
Dual carriages za Dar es salaam ni zifuatazo Major ones only zipo nying zaid ..sijapata muda kuzitaja

1.Morogoro road to Kibaha
2.Posta to Tegeta AH Mwinyi plus new Bagamoyo
3.Kilwa Road
4.Nelson mandela road
5.Mwenge to Tpa via Samnjuoma and nelson mandela port access road


Anyways regardless sidhani kama tumewazidi au la..how many kms do you have
Screenshot_20220918-100202_Maps.jpg
Screenshot_20220918-122002_Maps.jpg
Screenshot_20220918-122131_Maps.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20220918-122002_Maps.jpg
    Screenshot_20220918-122002_Maps.jpg
    23.6 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220918-122131_Maps.jpg
    Screenshot_20220918-122131_Maps.jpg
    28 KB · Views: 5
Dual carriages za Dar es salaam ni zifuatazo Major ones only zipo nying zaid ..sijapata muda kuzitaja

1.Morogoro road to Kibaha
2.Posta to Tegeta AH Mwinyi plus new Bagamoyo
3.Kilwa Road
4.Nelson mandela road
5.Mwenge to Tpa via Samnjuoma and nelson mandela port access road


Anyways regardless sidhani kama tumewazidi au la..how many kms do you haveView attachment 2360529View attachment 2360532View attachment 2360533
Nilishaaziweka zote nikapata total ya 75km. Mbona unarudia?

Nairobm- Kenol 53km
Nairobi - Kyumvi 46km
Nairobi - Rironi - 30km
Ngong road - 12km
Langata road via Lusaka Road via Landies road to town 11km
Southern Bypass - 28km
Total -180km

Hizo ni za kuingia Nairobi. Za ndani mwa Nairobi hizi.
Kenyatta Avenue - 1.65km
Outerring Road - 10km
Airport North Road via Old Mombasa road - 8km
Enterprise Road dualed section 3.3km
Bunyala road 1km
Jogoo Road - 5km
Westlands - Redhill road - 4.5km
General Waruinge Road 1.75km
Muranga Road - University way - 2.79km
Ring Road Ngara - 2.2km
Ring Road Ngara - Ring Road Westlands 3km
Mbagathi way - Valley Road 4.3km
Kungu - Karumba road - Ring Road Kilimani 4km
Gitaru Road - Limuru Road 15km
Total 64.25

Ukiongeza the major ones ni kama 245km
Na kuna zingine nyingi ambazo nimeacha
 
Binafsi wasi wasi ulianza pale marope alipokuja na negative kuhusu ule mradi,ila watu walipopaza sauti akanyuti ila true color yake alishaionyesha mwanzoni tu alipoingia wizarani
Marope alikuja na negative zipi Kuhusu mradi au wewe na genge lako ndio mna chuki binafsi?

Makamba anaweza badili nini kwenye mradi wa Kitaifa? Muachage ujinga basi..
 
ila baba long distance aircraft zinahitajika, tatu hazitoshi! At least 7 zinahitajika! Market ya Ulaya na Amerika ina ushindani kinoma!
yeah mzee ...I think tunahitahi another 3 b787..to serve well the markets
 
Sukuma gang watakuwa wanajificha saa hii..

Rais Samia ameamua kufanya kweli Kwa Kuifungua Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini iliyotengwa na Mwendazake..

Ndani ya mwaka mmja kila Kona anatandika lami,another one,

Ntendo/Sumbawanga-Kilyamatundu/Kamsamba Road,hii itaunganisha Mkoa wa Rukwa na Songwe na Katavi kupitia Binder la Ziwa Rukwa..

Kazi inaendelea 👇
 

Attachments

  • IMG_20220918_130131_969.jpg
    IMG_20220918_130131_969.jpg
    718.4 KB · Views: 8
  • IMG_20220918_130159_873.jpg
    IMG_20220918_130159_873.jpg
    830.5 KB · Views: 7
  • IMG_20220918_121950_104.jpg
    IMG_20220918_121950_104.jpg
    817 KB · Views: 5
  • IMG_20220918_121953_630.jpg
    IMG_20220918_121953_630.jpg
    706.5 KB · Views: 7
  • IMG_20220918_121003_930.jpg
    IMG_20220918_121003_930.jpg
    616.8 KB · Views: 9
  • IMG_20220918_121852_082.jpg
    IMG_20220918_121852_082.jpg
    404.4 KB · Views: 6
Back
Top Bottom