Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

South Africa wana mgao wa umeme wa ajabu..i just hope sisi haitokuja kujirudia kama enzi za richmond..bora raisi afanye madudu yake..ila asizingue sector za Umeme , Maji ,ajira na Afya
....currently sina imani sana na Tanesco inavyoendesha..i feel hata JNHPP ikija online tutapoa kidogo na kuanza kusema maji hayatoshuView attachment 2360036
Jnhpp itaisha na mambo yataendelea vilevile tu, kama gharama zitashuka ni kdg sn, tutaambiwa kina kimeshuka cjui nini nini na kila kitu. Hii nchi inabidi wananchi tufanye jambo.
 
Riverside Nairobi.

Show me anywhere in Dar is a slum inafanana hivi nifunge account sahii.🤣🤣🤣
20220917_231313.jpg
 
Wewe Nairobi unaionea tu kwa maps. Hakuna kitu unajua wewe primary school dropout. 🤣🤣🤣 unapost map ya Kenya vs Dar. Wewe ni pumbavu sana.
Mpaka leo kumbe bado hujajua kwanini mnaita Thika 'superhighway'??? Ni sababu mnayo hiyo tu 🤣🤣🤣🤣
 
We jamaa huwaga mpumbavu na umejaa mihemuko badala ya akili, Dar zinaingia na kutoka barabara 4 from different directions wakati Nairobi ni barabara moja tu Thika ndio inaingia na kutoka kwenye mji sasa jitafakari yupi mwenye barabara nyingi na ndefu, Dar ni three Nairobiz
Unajiona umenyamba point nzito sana😂😂😂

Barabara za kuingia CBD

Thika Road
Wayiaki Way
Mombasa Road
Expressway
Ngong' Road
Jogoo Road.
 
Unajiona umenyamba point nzito sana😂😂😂

Barabara za kuingia CBD

Thika Road
Wayiaki Way
Mombasa Road
Expressway
Ngong' Road
Jogoo Road.
Mzee sio CBD tunaongelea hapa kama ni CBD Dar itakuwa na barabara kama 100 hivi 😂😂😂

Naongelea trunk roads, go Google it
 
Jilinganishe na barabara zinazoingia na kutoka Dar sasa 😂😂😂😂

View attachment 2360133View attachment 2360134
Kati ya hizo dual carriageway ni KM ngapi? Nairobi Mombasa road ni dual kutoka Kyumvi hadi CBD - 41km. Thika road ni dual kutoka Kenol hadi CBD - 60KM (Mwisho wa 2023 itakuwa 150km because upanuzi unaendelea kutoka Kenol hadi Marua). Waiyaki way ni dual from Rironi hadi CBD 35km. Ngong road ni dual from CBD to Karen 13km. Langata road ni dual from CBD to Galleria mall 8km. Ukiweka pamoja barabara za kuingia Nairobi pekee ni 157km dual. By the end of next year zitakuwa 247km. Hapo hata zijaongeza ring roads za ndani amabzo in total ni kama 100km. Hujaweka barabara zingine za ndani ndogo ndogo kama Jogoo road, Outering road, Eastleigh first avenue n.k.
 
Mzee sio CBD tunaongelea hapa kama ni CBD Dar itakuwa na barabara kama 100 hivi 😂😂😂

Naongelea trunk roads, go Google it
Okay. Za Kuingia Nairobi ni hizi.

Mombasa Road. From Mombasa into Nairobi.
Wayiaki Way. From Nakuru into Nairobi.
Thika Superhighway. From Kiambu into Nairobi
Ngong' Road. From Kajiado into Nairobi.
 
Kati ya hizo dual carriageway ni KM ngapi? Nairobi Mombasa road ni dual kutoka Kyumvi hadi CBD - 41km. Thika road ni dual kutoka Kenol hadi CBD - 60KM (Mwisho wa 2023 itakuwa 150km because upanuzi unaendelea kutoka Kenol hadi Marua). Waiyaki way ni dual from Rironi hadi CBD 35km. Ngong road ni dual from CBD to Karen 13km. Langata road ni dual from CBD to Galleria mall 8km. Ukiweka pamoja barabara za kuingia Nairobi pekee ni 157km dual. By the end of next year zitakuwa 247km. Hapo hata zijaongeza ring roads za ndani amabzo in total ni kama 100km. Hujaweka barabara zingine za ndani ndogo ndogo kama Jogoo road, Outering road, Eastleigh first avenue n.k.
Mbona unachanganya streets na Trunk roads? Nimesikia mpaka Karen 😂😂😂
 
Mpaka leo kumbe bado hujajua kwanini mnaita Thika 'superhighway'??? Ni sababu mnayo hiyo tu 🤣🤣🤣🤣
Tanzania yote hamna barabara yeyote with controlled access. Barabara zenu zote zikona zebra crossing.🤣🤣🤣 Wewe hakuna kitu unaweza niambia.

Nionyeshe barabara yeyote bongo ambayo ikona uninterrupted flow of traffic nifunge account sahii.
 
Back
Top Bottom