heb leta mfano za SA nivione mchizi wanguIzo barabara unazoonyesha ni kama za Tz tu sasa tuonyeshe barabara inazofanana na za SA
mbona hakuna cha ajabu!🙀 mbona sioni tofautiIzo barabara unazoonyesha ni kama za Tz tu sasa tuonyeshe barabara inazofanana na za SA
Wacha kuongoa uongo we falamanga, how many km of dual carriage ways do you guys have .? Tuanzie hapo kwanza ... DAR ni Zaid ya Nairobi likija suala la dual carriage ways..Here is my answer,
Whoever funded Kenya to build more dual carriageways than the rest of East Africa combined will fund this one.
Usitaje upuuzi kwenye sentence moja na SA we mwehumbona hakuna cha ajabu!🙀 mbona sioni tofauti View attachment 2359533View attachment 2359534View attachment 2359535View attachment 2359536View attachment 2359537
hizi hapa Ahero, Kenya👇🏽 24km before ufike kisumu cityView attachment 2359546View attachment 2359547View attachment 2359548View attachment 2359549View attachment 2359550View attachment 2359551View attachment 2359552
lakini mbona sipati picha.. mbona sioni cha ajab jinsi mnavyo jaribu kusingizia sana!?..Usitaje upuuzi kwenye sentence moja na SA we mwehu
Peleka upuuzi wako mbelelakini mbona sipati picha.. mbona sioni cha ajab jinsi mnavyo jaribu kusingizia sana!?..
sawa mtoto wetu🙏🏽 wacha nipelekePeleka upuuzi wako mbele
SAmbona hakuna cha ajabu!mbona sioni tofauti View attachment 2359533View attachment 2359534View attachment 2359535View attachment 2359536View attachment 2359537
hizi hapa Nyamasaria, kisumu11km before ufike kisumu city centreView attachment 2359546View attachment 2359547View attachment 2359548View attachment 2359549View attachment 2359550View attachment 2359551View attachment 2359552
Estim wanaweza hata kujenga barabara za mwendokasi wakiaminiwa kuliko hawa sinohydro . Halafu itasaidia kuongeza mzunguko wa fedha maana kiasi kikubwa kitabaki hapa hapa Tanzania
thika superhighway..... na usisahau vitu kama hizi itasalia kua ndoto tz, hadi circa2075!😆😆
Unakichaa wewe. Dar enyewe hata imeshindwa na Kisumu when it comes to daul carriageway.Wacha kuongoa uongo we falamanga, how many km of dual carriage ways do you guys have .? Tuanzie hapo kwanza ... DAR ni Zaid ya Nairobi likija suala la dual carriage ways..
Barabara moja vs barabara 4000 Acha upuuzithika superhighway..... na usisahau vitu kama hizi itasalia kua ndoto tz, hadi circa 2075!View attachment 2359614View attachment 2359615View attachment 2359616View attachment 2359617View attachment 2359628View attachment 2359629View attachment 2359630View attachment 2359631
Mbingu na ardhithika superhighway..... na usisahau vitu kama hizi itasalia kua ndoto tz, hadi circa2075!View attachment 2359614View attachment 2359631View attachment 23View attachment 2359617View attachment 2359616View attachment 2359628View attachment 2359629View attachment 2359632
kabsaaa si kuaminiwa wameshaonyesha uwezo! wapewe one of the phases!Estim wanaweza hata kujenga barabara za mwendokasi wakiaminiwa kuliko hawa sinohydro . Halafu itasaidia kuongeza mzunguko wa fedha maana kiasi kikubwa kitabaki hapa hapa Tanzania
Huko kwenye katiba mpya mbona malalamiko ni Yale Yale hata baada ya mahakama kuthibitisha bado majaji wanalaumiwa?, Tujifunze utamaduni wa kukubali kushindwa, katiba mpya haijabadilisha lolote Kenya.Tofautisha kati ya uchaguzi na uchafuzi tume inateuliwa na Mwenyekiti wa chama halafu unategemea nini hapo? Ndiyo maana watu wanataka katiba mpya
aa wapi! kwani umewacha wapi mombasa rd, waiyaki way, langata rd, outering rd!?? aah?Barabara moja vs barabara 4000 Acha upuuzi