Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

South Africa wana mgao wa umeme wa ajabu..i just hope sisi haitokuja kujirudia kama enzi za richmond..bora raisi afanye madudu yake..ila asizingue sector za Umeme , Maji ,ajira na Afya
....currently sina imani sana na Tanesco inavyoendesha..i feel hata JNHPP ikija online tutapoa kidogo na kuanza kusema maji hayatoshuView attachment 2360036
Umeme wa Maji sio reliable kusema eti isije kutokea..

China kwenyewe kuna mgao wa Umeme sababu ya Ukame,kusema eti isije kutokea ni kitu haiwezekani hususani kipindi cha Ukame mkali..
 
New babies in Town 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220918-074712.png
    Screenshot_20220918-074712.png
    146.6 KB · Views: 6
  • 20220918_075430.jpg
    20220918_075430.jpg
    59.8 KB · Views: 7
  • 20220918_074717.jpg
    20220918_074717.jpg
    63.5 KB · Views: 8
SSH amekaidi kuitenga Mikoa ya Southern Highlands na Western kama alivyofanya yule diseased.

Kazi ya Kuifungua Nchi Kwa barabara inaendelea,

Matai-Kasesha/Zambia Border Trunk Road in Rukwa..

Kaliua-Malagarasi-Ilunde Trunk Road in Kigoma and Tabora 👇
 

Attachments

  • IMG_20220917_125932_315.jpg
    IMG_20220917_125932_315.jpg
    1.2 MB · Views: 7
  • IMG_20220917_125942_512.jpg
    IMG_20220917_125942_512.jpg
    1 MB · Views: 7
  • IMG_20220917_125814_944.jpg
    IMG_20220917_125814_944.jpg
    1.2 MB · Views: 7
  • Screenshot_20220916-203810.png
    Screenshot_20220916-203810.png
    99.7 KB · Views: 7
SSH amekaidi kuitenga Mikoa ya Southern Highlands na Western kama alivyofanya yule diseased.

Kazi ya Kuifungua Nchi Kwa barabara inaendelea,

Matai-Kasesha/Zambia Border in Rukwa..

Kaliua-Malagarasi-Ilunde in Kigoma and Tabora 👇
Si huwa mnasema mikoa yenu yote iko connected? Mbona naona vumbi tu huku?
 
Ukiona watu wanajivunia apartment yaani nyumba za kupanga ujue fedha awana alafu pia ardhi awana hahahahhaaaaaa poor kenyani sheet hole... njoo uone TZ kila mtu ana kiwanja chake na anajenga.. sio kma nyie kunyani mtaishia kupanga mpaka mnaingia kuzumuni

Siyo anajenga tu. Anajenga nyumba za ukweli. Tembelea Dodoma ukashuhudie mambo yalivyo.😄🤣😁
 
Back
Top Bottom