tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Unataka pafanane na dar kwasababu zipi?we mjinga kwelRiverside Nairobi.
Show me anywhere in Dar is a slum inafanana hivi nifunge account sahii.
View attachment 2360128
Unataka pafanane na dar kwasababu zipi?we mjinga kwelRiverside Nairobi.
Show me anywhere in Dar is a slum inafanana hivi nifunge account sahii.
View attachment 2360128
Haha ya kwanza tu umepuyanga Nairobi mpaka Thika? Mbona Nairobi ni ngumu sana kupambana yenyewe? Usiniambie upumbavu wa metropolitan kwenye hiyo mbuga ya wanyama tu 😅Nilishaaziweka zote nikapata total ya 75km. Mbona unarudia?
Nairobm- Kenol 53km
Nairobi - Kyumvi 46km
Nairobi - Rironi - 30km
Ngong road - 12km
Langata road via Lusaka Road via Landies road to town 11km
Southern Bypass - 28km
Total -180km
Hizo ni za kuingia Nairobi. Za ndani mwa Nairobi hizi.
Kenyatta Avenue - 1.65km
Outerring Road - 10km
Airport North Road via Old Mombasa road - 8km
Enterprise Road dualed section 3.3km
Bunyala road 1km
Jogoo Road - 5km
Westlands - Redhill road - 4.5km
General Waruinge Road 1.75km
Muranga Road - University way - 2.79km
Ring Road Ngara - 2.2km
Ring Road Ngara - Ring Road Westlands 3km
Mbagathi way - Valley Road 4.3km
Kungu - Karumba road - Ring Road Kilimani 4km
Gitaru Road - Limuru Road 15km
Total 64.25
Ukiongeza the major ones ni kama 245km
Na kuna zingine nyingi ambazo nimeacha
I think 4 2 for Europe London n say Paris/Amsterdam/Frankfurt markets n 2 for US New York/Dallas/Washington DC markets! 3 for Southeastern Asia Guangzhou/Beijing/Hongkong, Kuala Lumpur, Singapore n Bangkok!yeah mzee ...I think tunahitahi another 3 b787..to serve well the markets
Kawawa Road sio dual?Dual carriages za Dar es salaam ni zifuatazo Major ones only zipo nying zaid ..sijapata muda kuzitaja
1.Morogoro road to Kibaha
2.Posta to Tegeta AH Mwinyi plus new Bagamoyo
3.Kilwa Road
4.Nelson mandela road
5.Mwenge to Tpa via Samnjuoma and nelson mandela port access road
Anyways regardless sidhani kama tumewazidi au la..how many kms do you haveView attachment 2360529View attachment 2360532View attachment 2360533
Za ndani ya Jiji nazo unataka dual?au umetaja zote hadi za two lanes?Nilishaaziweka zote nikapata total ya 75km. Mbona unarudia?
Nairobm- Kenol 53km
Nairobi - Kyumvi 46km
Nairobi - Rironi - 30km
Ngong road - 12km
Langata road via Lusaka Road via Landies road to town 11km
Southern Bypass - 28km
Total -180km
Hizo ni za kuingia Nairobi. Za ndani mwa Nairobi hizi.
Kenyatta Avenue - 1.65km
Outerring Road - 10km
Airport North Road via Old Mombasa road - 8km
Enterprise Road dualed section 3.3km
Bunyala road 1km
Jogoo Road - 5km
Westlands - Redhill road - 4.5km
General Waruinge Road 1.75km
Muranga Road - University way - 2.79km
Ring Road Ngara - 2.2km
Ring Road Ngara - Ring Road Westlands 3km
Mbagathi way - Valley Road 4.3km
Kungu - Karumba road - Ring Road Kilimani 4km
Gitaru Road - Limuru Road 15km
Total 64.25
Ukiongeza the major ones ni kama 245km
Na kuna zingine nyingi ambazo nimeacha
Two lanes inaweza kuwa dual? Usianze kuwa na akili ya ujinga kama chongchungZa ndani ya Jiji nazo unataka dual?au umetaja zote hadi za two lanes?
Ukiondoa Thika Nairobi haina trunk road nyingine, uongo?Two lanes inaweza kuwa dual? Usianze kuwa na akili ya ujinga kama chongchung
Ukija huko unawapoteza mara nyingi km zao ni za makaratasiDual carriages za Dar es salaam ni zifuatazo Major ones only zipo nying zaid ..sijapata muda kuzitaja
1.Morogoro road to Kibaha
2.Posta to Tegeta AH Mwinyi plus new Bagamoyo
3.Kilwa Road
4.Nelson mandela road
5.Mwenge to Tpa via Samnjuoma and nelson mandela port access road
Anyways regardless sidhani kama tumewazidi au la..how many kms do you haveView attachment 2360529View attachment 2360532View attachment 2360533
Aiseh nimesahau na kawawa ni ndefu kweliKawawa Road sio dual?
Kazi iliofanyika hapo ni Kubwa,kubadili vichaka kua namna hii ni kazi kubwa sanaI shoot them today
Magufuli City Dom
Small part of the ongoing construction!
View attachment 2360664View attachment 2360665View attachment 2360666View attachment 2360667View attachment 2360668View attachment 2360669View attachment 2360670View attachment 2360671View attachment 2360672View attachment 2360673View attachment 2360674View attachment 2360675View attachment 2360676View attachment 2360677View attachment 2360678View attachment 2360680View attachment 2360681View attachment 2360682View attachment 2360683View attachment 2360684View attachment 2360685
Na hapo ni sehemu ndogo tu ya huo mji, ukienda bila ramani unapotea sababu ni pakubwa mno, hapo bado phases mbili majengo yakamilike kabisa. Second wing na conferencing facilities kwa kila ministry.Kazi iliofanyika hapo ni Kubwa,kubadili vichaka kua namna hii ni kazi kubwa sana
sawaUkiondoa Thika Nairobi haina trunk road nyingine, uongo?
Zamani sn, TC 213 Ndola-Lubumbashi.Hivi route ya drc ilishaanzaga?
Mbona huweki length kama NairobiWalker tuone total ni km ngapi?Aiseh nimesahau na kawawa ni ndefu kweli
1.Kawawa road
minors
2 Lumumba road joining morogoro and bibititi
3 .Sinza/Shekilango from Bamaga to Shekilamgo
4. Azikiwe strech posta ya zamani hadi bibititi
5.Karume road inayojoin kawawa na kariakoo
6.
Afrika bhn inachekesha sana, mtu anakomaa na picha hzo hzo mwaka mzima















Ngoja nikitoka office ntaziweka sum...maana inahitaji google maps kutu.iaMbona huweki length kama NairobiWalker tuone total ni km ngapi?