Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hana haraka si kama kitambo kibaki ilibidi aapishwe usiku hehe we really grown as a democracy so now no five years cycle of economic destruction nothing preventing us now from being great in Africa

Kwahiyo rais mteule kunywa chai ndio kunafanya democracy yenu iwe juu? Hahaha
 
Tanzania is almost 7 times larger than England. So we should say Tanzania has more roads than England because it is way larger? DRC is two and a half times larger than Tanzania, we should also say DRC has more roads than Tanzania?
Hata barabara za miji tu Tanzania na kunyaland hazifui dafu in matching, barabara za miji masikini Tanzania mfano kama Singida zina kilometers nyingi kuliko mji wenu Mombasa

 
Ila hawa wakenya huwa nashindwa kuwaelewa 🤣🤣🤣 tukizungumzia kuhusu apartments/real estate industry wanapost video mia mia humu ndani tukizungumzia barabara wanaleta data while sisi tunazipost hizo barabara 🤣🤣🤣 Teargas NairobiWalker watz wanataka kuona barabara zenu sio kila siku mnapost express way tu .. barabara nyingi mnazozungumzia ziko wapi.?
Niliwaambia walete barabara yenye urefu wa kilometers 100 tu wakaingia mitini
 
Bhana we. chongchung alipost barabara karibu zote Tz ni juzi kati tu hapa, hadi leo hatujapata majibu kutoka kenya.. majibu yako wapi .? 🤣🤣🤣
Nilipost barabara zenye zaidi ya kilometers 7000 zilizojengwa kipindi cha Magufuli wakati wao wakipost kilometers 500 tu uhuru alizozizindua, barabara zao ni fake wenyewe wanajua.
 
Samia looked uncomfortable when they started saying you can criticizing government however you want hehe
Uncomfortable kivipi wakati huku anakosolewa kona zote! Watu tunajimwaga mwaga tu kuongea shombo....

We vipi?
 
Hata barabara za miji tu Tanzania na kunyaland hazifui dafu in matching, barabara za miji masikini Tanzania mfano kama Singida zina kilometers nyingi kuliko mji wenu Mombasa


Lodwar, a town in the poorest county in Kenya, has better roads than these.
 
Uteuzi kaka hakuna lingine analolipigania.
Kwa hapo ameshafeli.

Analilia vipi uteuzi Kwa kuzungumzia jambo ambalo hana ufahamu nalo wa kutosha? Nitashangaa sana kama Mamlaka zitatuletea Watu wa porojo porojo tu na lawama bila kuwa na facts.

Utaongoza vipi kama huna taarifa za kutosha na sahihi?
 
Unazungumzia ile high way inayokatiza pale kijijini .?
20220719_171733.jpg
 
Back
Top Bottom