Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Kuna muda uwe na akili timamu we jamaa, nitawezaje kujiingiza kwenye discussion enye haipo, nikipost barabara tano kutoka Singida we utapost nini then.?Wewe ni mwanaume lakini unaogopa kama kuku jike 😂😂, why can't you just post any road from Singida enye unajiamini nayo?