NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,334
- 17,919
Za Chong Chung ziko wapi? 🤣 🤣Zikowapi.? 🤣🤣🤣
Za Chong Chung ziko wapi? 🤣 🤣Zikowapi.? 🤣🤣🤣
Pita hii thread alafu unyamaze, umejoin juzijuzi na unajifanya mjuaji kuliko wenye ulipata😂Zikowapi.? 🤣🤣🤣
Okay me nakupa now barabara zenye zipo underway in DOM alone.. na wewe ufanye hivyo kutoka mji wowote wa Kenya Alaf tuone ni wapi kuna barabara mingi za lami. 🤣🤣.. upo Tayari.?Za Chong Chung ziko wapi? 🤣 🤣
Mbona DOM pekee? Mimi nataka Tanzania nzima bro. 🤣🤣Okay me nakupa now barabara zenye zipo underway in DOM alone.. na wewe ufanye hivyo kutoka mji wowote wa Kenya Alaf tuone ni wapi kuna barabara mingi za lami. 🤣🤣.. upo Tayari.?
Uteuzi kaka hakuna lingine analolipigania.Hakika inashangaza sana.
Haswa Kwa mtu kama huyo ambae alishaingia cabinet meetings na bado anapost habari kama hiyo.
Hii inaonesha ni jinsi gani hawa Watu they are not attentive to details ndio maana kila mtu ni mlalamikaji nchi hii.
I expect you to ask us the 3,000km of roads built in the next two years, so let me just leave this one here for you for your reference. You can crosscheck from as well if you want😂😂.Okay me nakupa now barabara zenye zipo underway in DOM alone.. na wewe ufanye hivyo kutoka mji wowote wa Kenya Alaf tuone ni wapi kuna barabara mingi za lami. 🤣🤣.. upo Tayari.?
Sikiliza we mjinga mimi Moja kati ya watz wanaijua Bongo vizur mno, bcoz I've been to 15/31 regions of Tz .. nimepita karibu mokoa yote .. nimekuja hapa kutoa elimu (nini kilichopo Bongo kwa ground) una la kujitetea leta hapa na kama hauna kaa kushotoPita hii thread alafu unyamaze, umejoin juzijuzi na unajifanya mjuaji kuliko wenye ulipata😂
![]()
Tanzanians, show us your roads
I have been following some threads here and I always wonder why Tz people say they have better infrastructures than Kenya especially roads. So today I have decided to open a thread comparing roads from both sides. I would like to urge our neighbours to post the pictures of videos of roads so...www.jamiiforums.com
Sahihi kabisa amejiona kasahaulika anatafuta huruma apate ka uteuzi ni aibu kwa kiongozi aliyewahi kuwa Waziri alalamike kama mwananchi wa kawaida wakati yeye akiwa na uongozi hakuwahi kufanya jambo la maana la kukumbukwa. Atulie tu.Amechoka kuwa back bencher sasa hii ni ntoke vipi nipate huruma ya mama!
So it's DOM vs the whole country right.?I expect you to ask us the 3,000km of roads built in the next two years, so let me just leave this one here for you for your reference. You can crosscheck from as well if you want😂😂.
All roads that were under construction as at Dec 2020, some are complete some are still ongoing.
View attachment 2355377
Si ulisema unataka kuona picha za barabara zetu? Mbona tena ukiletewa thread ya hizo barabara unaanza kulia tena?🤣🤣😂Sikiliza we mjinga mimi Moja kati ya watz wanaijua Bongo vizur mno, bcoz I've been to 15/31 regions of Tz .. nimepita karibu mokoa yote .. nimekuja hapa kutoa elimu (nini kilichopo Bongo kwa ground) una la kujitetea leta hapa na kama hauna kaa kushoto
What's DOM? This discussion was about Kenya and Tanzania. I have just showed you 3,600km of roads currently under construction na unalia😂😂So it's DOM vs the whole country right.?
Wacha Alie.🤣🤣Si ulisema unataka kuona picha za barabara zetu? Mbona tena ukiletewa thread ya hizo barabara unaanza kulia tena?🤣🤣😂
NairobiWalker come take your friend, jamaa anataka kulia🤣🤣😂
Yule aliyejifanya kususa kisa nmempa makavuSio mgeni, ni yule mkale.











Umeshindwa game yako unataka kulia bradhee?🤣🤣Sikiliza we mjinga mimi Moja kati ya watz wanaijua Bongo vizur mno, bcoz I've been to 15/31 regions of Tz .. nimepita karibu mokoa yote .. nimekuja hapa kutoa elimu (nini kilichopo Bongo kwa ground) una la kujitetea leta hapa na kama hauna kaa kushoto
Anaonesha flyover, hawa wanuka mavi ni wasenge sn, anaambiwa aweke roads za county moja moja na urefu wake na cc tuweke zetu za mikoa na urefu wake yeye analeta flyover








Nakuunga mkono ila hapo kwenye more advanced nadhani co kweli cz Dar bado ni more advanced than ka Nairobi, Dar has some more advanced infrastructures that you can't see in East and Central Africa but there's no even a single infrastructure that ka Nairobi has and Dar hasn't.Have been in both places, Nairobi is more advance than Dar es salaam, Dar is beautiful and exotic than Nairobi and Tanzania is better than Kenya
Have you washed your uniform? Is your torch fully charged? Have you checked if your whistle is in good condition? What about your rungu? Is it strong enough to hit a thief? Don't forget to buy KIWI ya kubrush kiatu.Anaonesha flyover, hawa wanuka mavi ni wasenge sn, anaambiwa aweke roads za county moja moja na urefu wake na cc tuweke zetu za mikoa na urefu wake yeye analeta flyover![]()
Ndiyo nilitaka kusema hapa kwamba kuna siku chongchung alianzisha battle ya road kwa kuweka kila barabara humu na urefu wake ila hawa wanuka mavi wakawa wamekausha wanaogopa, au kama wanataka turudie kutaja road moja moja za kila mkoa na kila county.Bhana we. chongchung alipost barabara karibu zote Tz ni juzi kati tu hapa, hadi leo hatujapata majibu kutoka kenya.. majibu yako wapi .?![]()
Nakuunga mkono ila hapo kwenye more advanced nadhani co kweli cz Dar bado ni more advanced than ka Nairobi, Dar has some more advanced infrastructures that you can't see in East and Central Africa but there's no even a single infrastructure that ka Nairobi has and Dar hasn't.