Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hope there is tight security in Ruto's inauguration today ...
I just have bad feelings sijui why..
 
Huyu Mama anapenda kutumia hizi ndege na kuvuruga ratiba za ATCL wakati ndege ya rais ipo, kwnn huyu mama hana uchungu na kodi za wananchi? Pale airport unakuta kuna ma delay ya kipumbavu pumbavu kisa tu ndege imechelewa kuwasili lkn pia equipments ni chache alafu hapo hapo mtu anachukua ndege anaenda nayo Kenya, ngoja niangalie kwenye flight radar nione leo TC 200 imeenda equipment gn alafu nirudi.
 
Umeona ss TC 200 ya alfajiri imeenda Q400 alafu yeye amechukua A220 wakati ndege ya Rais ipo, anakwenda kuvuruga ratiba ya TC kijinga kabisa na kuikosesha mapato kwa sifa tu ya kuonekana Rais wa Tz anatumia ndege ya kisasa na kubwa, ndege zenyewe hazitoshi bado hapo hapo mtu anachukua kwa mambo yake binafsi, natamani nchi hii ingekuwa huru ili Rais anayefuata aweze kumuwajibisha aliyepita.
Screenshot_20220913-101357.jpg
 
Hana haraka si kama kitambo kibaki ilibidi aapishwe usiku hehe we really grown as a democracy so now no five years cycle of economic destruction nothing preventing us now from being great in Africa
 
Soja tangu lini Tanzania ikawa na more tarmacked roads kuliko Kenya?
Heb tuongee ki utuuzima, Tz is at least two times larger to Kenya, and guess what kila mkoa Kati ya mikoa 31 tz umeunganishwa kwa lami unlike your failed state ambapo ni mkoa michache tu ndio iko na lami .. we unafkiria ntakuja kutupita kwa idadi ya barabara za lami hiv karibuni.?
 
Namhurumia Hawa watanzania yaani hawana lipya sisi when posting new projects all the time from musium to parks to new roads all they have is the same same brt bridge and interchange over and over again in just different angles and editings
We fala ni kitu gani kipya nyie mnapost humu kila siku.? Tofauti na express way.? 🤣🤣 Ambayo mnapost humu 24/7 .. at least na sisi kila leo kuna miradi tunaweka humu, iwe wings mpya za hospital zetu, barabara vijijini,. Madaraja n.k. Nyie mnapost nini tofauti na express way.!
 
Heb tuongee ki utuuzima, Tz is at least two times larger to Kenya, and guess what kila mkoa Kati ya mikoa 31 tz umeunganishwa kwa lami unlike your failed state ambapo ni mkoa michache tu ndio iko na lami .. we unafkiria ntakuja kutupita kwa idadi ya barabara za lami hiv karibuni.?
Tanzania is almost 7 times larger than England. So we should say Tanzania has more roads than England because it is way larger? DRC is two and a half times larger than Tanzania, we should also say DRC has more roads than Tanzania?
 
Usiitie England kwenye sentence moja na Tz we fala. Usijitoe ufahamu kabisa hapa mada ni kenya vs Tz .. we all of the same status (third world countries).
 
Tanzania is almost 7 times larger than England. So we should say Tanzania has more roads than England because it is way larger? DRC is two and a half times larger than Tanzania, we should also say DRC has more roads than Tanzania?
Wacha upumbavu, amekuambia Tz is two times larger than Kunyaland na mikoa yote imeunganishwa na lami but in Kunyaland kuna counties kibao hazijaunganishwa na lami yn unaweza kutoka county moja kwenda nyingine unatumia zaidi ya cku mbili licha ya kanchi kenu kuwa kadogo, inakuwaje mdhani kwamba mnatukaribia kwenye mtandao wa lami, tumia akili usitumie makalio kufikiri.
 
Back
Top Bottom