Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We famba, I expected ungeleta hizo barabara zenye u claiming to have. Unaleta domo domo kunuka hapa.?
Ebu leta county yenye unafeel has no tarmac roads nikuprove wrong. Just name one out of the 47 counties.
 


Huyu Mama anapenda kutumia hizi ndege na kuvuruga ratiba za ATCL wakati ndege ya rais ipo, kwnn huyu mama hana uchungu na kodi za wananchi? Pale airport unakuta kuna ma delay ya kipumbavu pumbavu kisa tu ndege imechelewa kuwasili lkn pia equipments ni chache alafu hapo hapo mtu anachukua ndege anaenda nayo Kenya, ngoja niangalie kwenye flight radar nione leo TC 200 imeenda equipment gn alafu nirudi.
Kaka hili tatizo ni toka enzi za Magu ...looks like its a ccm disease...its so stupid and inaharibu sana route.
 
Kuna siku tuliwahi kuorodhesha barabara za lami zinazounga mikoa na wilaya bongo humu, nadhani alikuwa [mention]Venus Star [/mention] na nani sijui, huwezi amini hadi leo hii wakunya wameshindwa kujibu.
Hawana majibu kitu wataleta wao ni data tu 🤣🤣🤣 ni paper tiger hawa jamaa
 
Watu anataka kuziona sasa hizo barabara ziko wapi.? 🤣🤣
Jengeni barabara bwana, you are making a lot of noise with nothing to show. I won't be surprised to find out ati hara Uganda pia imewashinda kwa number of paved roads 😂😂🤣
 
Tozo waanzishe wao, afu wao wenyewe waanzishe timu ya kuchambua tozo baada ya kukataliwa na wananchi, bila shaka na allowances juu. Hii serikali gan hii
Hovyo kabisa! Hawana huruma hata kidogo! Sio watu hawa!
 
Nimekuambia utuonyeshe ni county gani has no tarmacked roads, or are you not the one who said that there are no tarmacked roads in some counties?
🤣🤣 Ngoja nikupe ka duty kadogo, you guys are claiming to have built 10k in just 8 good years.. I want you to mention those roads names and the period that they have got done.. taja barabara moja Moja 🤣🤣🤣
 
You are an idiot.


Mimi sio mwendawazimu eti nikwambie Tz yote iko na tarmac roads zipo barabara za kuunganisha districts mingi tu hazina lami.. ila there's no a single road which connects region to region enye haina lami.... kama unaweza leta hapa.. sahihi naweza toka Mtwara straight to Musoma na nisikanyage vumbi popote.. u can google the distance and see how far is Mtwara to Musoma
 
Back
Top Bottom