Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,889
- 103,757
Mkuu kwani uchumi si lazima ukuwezeshe kuwa na facility?Bado unaishi katika ulimwengu wa michezo ni burudani tu? Unajua kuwa nchi za UK,Spain michezo ndio sector zinaoongoza kuingiza watalii?Mtu anayefaa kuwa Rais ni Dr Philiph Mpango hii nchi inahitaji mtu anayeweza ku-fix economy na kuwezesha kukua 8% na si kujenga viwanja!
Saivi mpo wapi.? Heb onyesha mlipo.? 🤣🤣🤣 .. kwani mmeshawahi kutufikia kwenye hizi kazi.?Heri nipingane kuhusu mkojo lakini not about that grazing field. Uko tulitoka kitambo ndugu.
Ila pozi la picha la jamaa waliopiga magoti hadi huruma😄😄😄Alikuwa mwanamichezo. Apo wa kwanza kushoto ni yeye, chini hapo waliopiga magoti wapili kushoto utamuona marehemu Kashasha.View attachment 2353715
Kwanza hayo mambo ya uchumi cjui kukua kwa 10% cjui 8% ni upuuzi tu, enzi zile tulikuwa tunaambiwa na serikali ya awamu ya nne uchumi cjui unakua cjui matakataka gn lkn kwa ground ilikuwa ushuzi wa Bata.Mkuu kwani uchumi si lazima ukuwezeshe kuwa na facility?Bado unaishi katika ulimwengu wa michezo ni burudani tu? Unajua kuwa nchi za UK,Spain michezo ndio sector zinaoongoza kuingiza watalii?
So unaamini kwa hali tuliyonayo michezo itafanya uchumi ukue 8% kwa mwaka? Kenya inayoshinda medali kila siku kwenye ridhaa imeshindwa, ndo tuwe sisi?Mkuu kwani uchumi si lazima ukuwezeshe kuwa na facility?Bado unaishi katika ulimwengu wa michezo ni burudani tu? Unajua kuwa nchi za UK,Spain michezo ndio sector zinaoongoza kuingiza watalii?
Utafikiaje mwenye ako nyuma yako? Unaezafikia tu yule ambaye ako mbele yako lakini sio yule ako nyuma.Saivi mpo wapi.? Heb onyesha mlipo.? 🤣🤣🤣 .. kwani mmeshawahi kutufikia kwenye hizi kazi.?
Wehh,ata posta Dar skyline hiwezi fikia upper hill,,na bado Kuna jengo la 30+flr litaingia hapo🥰🔥
Heb leta hivyo viwanja vyenuUtafikiaje mwenye ako nyumba yako? Unaezafikia tu yule ambaye ako mbele yako lakini sio yule ako nyuma.
Ozkkkwsk2wss2w2skksww@@229Wk2kowwwkzk ×,(([,-@22×-2••2◇~◇◇•2◇,(((@(×(,(k,-2,@×[,×-[2k×(2@@@2sk,oskszw,wo22×-(@2@2,-×,22,2naliamsha dude....Fact: majority of african countries are good at at least one sport except LDC capital city, Tanzania...
Wanyama just scored a fierce goal against Liverpool jana...
Watanzania sijui kama mtajikaza katika mchezo huu uitwao bano angalau mwache kutia bara la Africa aibu?😀😀
![]()
![]()