Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I am not the one who said that. But since you are privy to these up-to-date data, I was just requesting that you give us the links to the same
Wewe ndiye uliyesema kwamba Kenya imeipita Tanzania katika mambo mengi tu na uliyataja, sasa ulipokua unasema ulitumia data gani na za mwaka gani?
 
mm nafkiri hujui inflation inaletwa na nini 😀😀

na hujui kwann inflation kenya is over 11% soma kwanza bro alaf uje tuendelee
Unapandisha ya Kenya ukiteremsha ya Tanzania. I have come to realize that you have very little knowledge about your country yet you "know" about kenya. Sadfa ulioje! Soma hizi taarifa mbili. Ni site moja inazungumzia inflation ya both Kenya and Tanzania
United Republic of Tanzania Inflation rate, 1980-2017 - knoema.com

Kenya Inflation rate, 1980-2017 - knoema.com
 
hehehe😀😀😀😀😀 soma bro uelimike

kenya

https://www.quora.com/Why-is-inflation-in-Kenya-going-high-and-its-economy-is-going-down

tanzania

http://mobile.thecitizen.co.tz/???site.mobile.url???

East Africa: Tanzania Has Lowest Inflation in East Africa Bloc
 
Wewe ndiye uliyesema kwamba Kenya imeipita Tanzania katika mambo mengi tu na uliyataja, sasa ulipokua unasema ulitumia data gani na za mwaka gani?
Fatilia thread vizuru. Hayakuwa maneno yangu. if it was me I couldn't be having a problem defending my own words. I have never had such a problem.
 
sio kwenye chakula, nchi yoyote duniani inayoendelea haiwez kufkia hatua chakula ikawa ni tatizo sugu lisilokua. na tiba, saudi arabia ni jangwa lakin huwez kuskia njaa ni tatizo, ukiona nchi imeshindwa kupambana na njaa kwa lugha nyepes inaitwa failed state
Kwa hivyo nyinyi ni failed state using your statement as a point of reference. Hahahahahahaha

10 Important Facts about Poverty in Tanzania

1. In Tanzania, 67.9 percent of the population lives below the poverty line.

2. Extreme poverty in Tanzania has declined in recent years, from 11.7 percent in 2006 to 9.7 percent in 2012.

3. Poverty leads to hunger. Roughly
42 percent of children under five in Tanzania suffer from chronic malnutrition and 16 percent are underweight.

4. Malnutrition affects children’s physical development. The rate of stunting in Tanzania ranks third in sub-Saharan Africa, after Ethiopia and the Democratic Republic of Congo.
 
ulishawahi kuona tunalia njaa kama nyinyi watu mldc?.
Hapa ni kuonewa ama ni cooked data by Kenyans?

10 Important Facts about Poverty in Tanzania

1. In Tanzania, 67.9 percent of the population lives below the poverty line.

2. Extreme poverty in Tanzania has declined in recent years, from 11.7 percent in 2006 to 9.7 percent in 2012.

3. Poverty leads to hunger. Roughly
42 percent of children under five in Tanzania suffer from chronic malnutrition and 16 percent are underweight.

4. Malnutrition affects children’s physical development. The rate of stunting in Tanzania ranks third in sub-Saharan Africa, after Ethiopia and the Democratic Republic of Congo.
 
ukweli gani wakat tanzania inflation is 4% huku kenya inflation is over 11% sasa hapo kuna ukweli gani😀😀😀😀 unakua kama sio msomi
Aha! Hivyo basi mko juu ya Egypt na Argentina walio na inflation ya more than 20%???
Wewe ni bongolalas tu. Deal with your illiteracy which is among the lowest in sub saharan Africa.
 
Kwa hivyo nyinyi ni failed state using your statement as a point of reference. Hahahahahahaha

10 Important Facts about Poverty in Tanzania

1. In Tanzania, 67.9 percent of the population lives below the poverty line.

2. Extreme poverty in Tanzania has declined in recent years, from 11.7 percent in 2006 to 9.7 percent in 2012.

3. Poverty leads to hunger. Roughly
42 percent of children under five in Tanzania suffer from chronic malnutrition and 16 percent are underweight.

4. Malnutrition affects children’s physical development. The rate of stunting in Tanzania ranks third in sub-Saharan Africa, after Ethiopia and the Democratic Republic of Congo.
Sio sisi tunaoweza kuamua nani ni failed state, hii ni baada ya nchi kukidhi vigezo vya kimataifa, Kenya imefikia vigezo vya failed state ndiyo sababu Kenya imewekwa katika kundi hilo.
Kenya ranked as 'failed state'
 
Aha! Hivyo basi mko juu ya Egypt na Argentina walio na inflation ya more than 20%???
Wewe ni bongolalas tu. Deal with your illiteracy which is among the lowest in sub saharan Africa.
Wewe ni chizi, swali gani unauliza hili?, kuna vigezo vingi vya kulinganisha uchumi wa nchi, huwezi kuchukua kipengele kimoja, stupid.
 
Hapa wanatanzania wanatamani ardhi iwameze kwa kushikwa na ule wivu wao wa Kike... kadoda, Geza Ulole, Ichoboy 01, Annael, tuusan aka Susan, mkorinto, Mwanzi and other LDC / Bongolalas aka Tuta Tuna aka watu wa malnutrition ilhali ardhi yao imejaa rotuba AKA watu wa Viwonder.
😀😀😀😀these guys even 100 metres tu hawawezi....they are very lazy...the only sport a tanzanian knows is umbeya vijiweni pale darasalam....Kenya is trending in soccer, juzi ilikuwa rugby 7s na athletics hata sijataja🙂🙂 the laziest east africans ...atleast ethiopians and ugandans are good at athletics...Morocco, Egypt ghana, Icory Coast, Senegal and Nigeria are good at soccer...SA is great at rugby...what abt LDC Tanzania? pengine bano na kati
 
😀😀😀😀these guys even 100 metres hawawezi....they are very lazy...the only sport a tanzanian knows is umbeya vijiweni pale darasalam....Kenya is trending in soccer, juzi ilikuwa rugby 7s na athletics hata sijataja🙂🙂
Which Soccer are you talking about idiot?
 
even Lupita just launched a superhero movie...Black panther...
t9ipo4elgrgechha2zdq.jpg
Black-Panther-Marvel-MCU-Lupita-Nyongo.jpg
landscape-1504787035-black-panther-movie.jpg
 
naliamsha dude....Fact: majority of african countries are good at at least one sport except LDC capital city, Tanzania...
Wanyama just scored a fierce goal against Liverpool jana...

Watanzania sijui kama mtajikaza katika mchezo huu uitwao bano angalau mwache kutia bara la Africa aibu?😀😀
IMG_6174.jpg
IMG_6159.jpg
 
Back
Top Bottom