Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Weka source kama mm, Tz co tu source of Kunyaland tourists bali pia ni the source of remittance View attachment 2353235
Without Kenyans your tourism industry will be dead.

FB_IMG_1660898402523.jpg
 
Hahaha dopchinski you are my good friend. I like you and I respect you. You have a right to celebrate your candidate winning. Nothing wrong with that. I will just take a few days or weeks from Social media. Today is probably the last day I am posting here. I may come back later. I need time to deal with this loss.
Hujapona tu? Bwana Tony254?
 
Without Kenyans your tourism industry will be dead.

View attachment 2353386
🤣🤣🤣🤣 Soma vizuri ulichopost we fala.. tittle imeandikwa nchi za AFRICA zilizochangia idadi kubwa ya watalii Tz. Ambapo kenya mnakuja 80k while Tz tunapokea more than 1 million tourists kwa mwaka that means Kenyans uchangiaji wenu kwenye utalii wetu ni less than 9%.. unajimwambafai vipi kwamba without you guys utalii wetu utakufa.?? 🤣🤣🤣🤣 Au hujui hesabu.? Hata msipokuja wote nyie bado tutaendelea ku record 1 million tourists annually ..
 
Hii mwaka tourists to Tanzania bado haijafika 1 million. The leading country is Kenya with 86k, USA only have 51k.
 
Alaaaa kumbe tunawapiganisha. In 7 months wamepata just over 700k visitors while Kenya in 8 months tumepata over 900K almost 1 million visitors.
Hua wamejikaza kupost pictures za land cruisers kwa national park so as to justify pesa Mama alitumia kwa Royal Tour.🤣🤣🤣🤣 Na bado Kenya inawacharaza kama burukenge on an election year. Last year tuliswashinda kwa revenue despite receiving less visitors, this year tunawapiga pande zote. 🤣🤣🤣🤣
 
Hua wamejikaza kupost pictures za land cruisers kwa national park so as to justify pesa Mama alitumia kwa Royal Tour.🤣🤣🤣🤣 Na Kenya inawacharaza kama burukenge on an election year. Last year tuliswashinda kwa revenue despite receiving less visitors, this year tunawapiga pande zote. 🤣🤣🤣🤣
na mbona isiwe for 8 months pia Tanania yaai August peak season mmeiacha!
 
Alaaaa kumbe tunawapiganisha. In 7 months wamepata just over 700k visitors while Kenya in 8 months tumepata over 900K almost 1 million visitors.
Hua wamejikaza kupost pictures za land cruisers kwa national park so as to justify pesa Mama alitumia kwa Royal Tour. Na bado Kenya inawacharaza kama burukenge on an election year. Last year tuliswashinda kwa revenue despite receiving less visitors, this year tunawapiga pande zote.
Ile cku utaniletea credible source kwamba mmepokea watalii 900k njoo tuongee, tatizo lenu nyie Wakunya ni wasenge sn, unamsapot huyo mnuka mavi wakati unajua kabisa kanaongopa, watalii wako wapi mbona hatuwaoni
 
Kwa hivyo waziri wetu wa utalii sio credible source. 🤣🤣🤣 Kubali matokeo, ukichengwa tulia.

Alaaaa kumbe tunawapiganisha. In 7 months wamepata just over 700k visitors while Kenya in 8 months tumepata over 900K almost 1 million visitors.
Hua wamejikaza kupost pictures za land cruisers kwa national park so as to justify pesa Mama alitumia kwa Royal Tour. Na bado Kenya inawacharaza kama burukenge on an election year. Last year tuliswashinda kwa revenue despite receiving less visitors, this year tunawapiga pande zote.
 
Alaaaa kumbe tunawapiganisha. In 7 months wamepata just over 700k visitors while Kenya in 8 months tumepata over 900K almost 1 million visitors.
Hua wamejikaza kupost pictures za land cruisers kwa national park so as to justify pesa Mama alitumia kwa Royal Tour.🤣🤣🤣🤣 Na bado Kenya inawacharaza kama burukenge on an election year. Last year tuliswashinda kwa revenue despite receiving less visitors, this year tunawapiga pande zote. 🤣🤣🤣🤣
Hehehe 🤣🤣😂
 
Back
Top Bottom