Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nipe hesabu ya watu wangapi wameajiriwa kupitia michezo.Tusiwe narrow katika kufikiri hakuna factor Moja kwenye ukuaji wa uchumi.Jana watu wengi wametoka mikoa mingine wameenda Ruangwa pale watalala,watanunua tafsiri wameinhiza fedha kwenye mzunguko.Al hilal wahu kuutumia tu uwanja wa Azam kwa mechi Moja milioni 6.Tusifikiri uchumi kwa jicho jembamba it an intergreted phenomenon.Unahitaji kuona multiplier effect ya jambo.
Kataja tourism moja ya factors zitakazofanya uchumi ukue lkn hapohapo anaona michezo sio factor ya uchumi kukua.. wakat kuna kitu kinaitwa sports tourism ambapo hapohapo kuna ishu ya transport, accodomotion etc.. pengine kawaza internally, wakat externally kukiwa na viwanja vizur vya kutosha kuna tournaments tunaweza kuhost kwa kuwa tuna facilities nzuri. Mf kukiwa na international swimming pool tunaweza kuhost hata mashindano ya kimataifa ya swimming. In football, kuna hzi za CECAFA, sijui cosafa, afcon hata za youth u23 sijui u20 hata afcon za senior. Kataja kenya kupata medals lkn hizo medals zimepatikana nchi za nje ambapo hizo nchi za nje ndo zinafaidika kiuchumi kutokana na ujio wa wageni, wakenya wao wana pata medals tu individually. Mwanzo nilipotezea ila ngoja niongee haya machache afu niendelee na ishu zangu 😀
Kiufupi, nchi za africa kwenye sports infrastructure bado sana, lkn nchi ikitumia fursa ya kuwa na at least sport infrastructure moja nzuri ndo huwa tournaments za kiafrica zinaelekezwa huko.. waangalie saiz Morocco sijui Algeria na Egypt wanapigania fursa za kuhost tournaments mbalimbali au hata finals, waangalie hata Rwanda jinsi Arena yao inavyohost tournaments za basketball kwa wingi
 
Miaka kadhaa nyuma hili flight status Board lilikua limejaa midege ya watu. Siku hizi wamejionea tofauti.

IMG_1566.jpg
 
Ukistaajabu ya Kunyaland utayaona ya Firauni Kagame na Malawi kutangaza siku 10 za maombolezo ya Kifo cha Malkia Elizabeth 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220911-205531.png
    Screenshot_20220911-205531.png
    39.8 KB · Views: 7
Watu wangekuwa wanaweka facts humu ndani tournaments za Afcon zimetengeneza faida kiasi gani ningewaona wa maana! Ila kuna wapuuzi humu hawajui economics hata kidogo arguments zao ni emotions tu! Wanakuwa excited na vitu vidogo vidogo visivyo na economic value ya maana! Ndio maana mimi binafsi na-support Uganda na Tanzania kuhost Afcon pamoja na ku-share hasara na ku-minimize magnitude! Kwa maana najua hosting those tournaments is more of a prestige!
 
Nipe hesabu ya watu wangapi wameajiriwa kupitia michezo.Tusiwe narrow katika kufikiri hakuna factor Moja kwenye ukuaji wa uchumi.Jana watu wengi wametoka mikoa mingine wameenda Ruangwa pale watalala,watanunua tafsiri wameinhiza fedha kwenye mzunguko.Al hilal wahu kuutumia tu uwanja wa Azam kwa mechi Moja milioni 6.Tusifikiri uchumi kwa jicho jembamba it an intergreted phenomenon.Unahitaji kuona multiplier effect ya jambo.
Hapo bado kodi ya sports betting
 
Watu wangekuwa wanaweka facts humu ndani tournaments za Afcon zimetengeneza faida kiasi gani ningewaona wa maana! Ila kuna wapuuzi humu hawajui economics hata kidogo arguments zao ni emotions tu! Wanakuwa excited na vitu vidogo vidogo visivyo na economic value ya maana! Ndio maana mimi binafsi na-support Uganda na Tanzania kuhost Afcon pamoja na ku-share hasara na ku-minimize magnitude! Kwa maana najua hosting those tournaments is more of a prestige!
Hizi ndo unataka kusikia au kuna kingine?
Most of times, hizi tournaments zinakuwa za hasara kama ndo umetumia pesa nyingi kujenga hizo stadiums, lkn kama ulijenga stadiums kbla bila pressure yoyote, kuhost tournaments yoyote kuna faida kubwa kuliko hasara
 
Back
Top Bottom