The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Nionyeshe mahali Ruto ameandika Kenya ni bankrupt nifunge hii account sahii.Mngekuwa mnachapa Kazi Nchi isingekuwa buncrapty 😆😆.
Ruto kawaumbua huku 👇
Debt burden and crisis 😆😆Nionyeshe mahali Ruto ameandika Kenya ni bankrupt nifunge hii account sahii.
Umekosa neno bankrupt, sasa tulia na upunguze kuropokwa.Debt burden and crisis 😆😆
Ukishazidiwa na madeni ndio ushakuwa buncrapty hivyo ndio maana Rais wenu analia Lia.Umekosa neno bankrupt, sasa tulia na upunguze kuropokwa.
Ulianza na kusema Ruto alisema Kenya ni bankrupt, nikakukaumbia unionyeshe pahali alisema hivyo. Umeshindwa sasa umeanza assumptions. Wewe tulia ungoje tutangaze bankruptcy kama hio ndio unataka kuskia. 😂😂😂Ukishazidiwa na madeni ndio ushakuwa buncrapty hivyo ndio maana Rais wenu analia Lia.
Tatizo la Kenya ni uchafu uliopitiliza.Ndorobo Eastland View attachment 2354392
We don't need an economist. Tunaitaji Mzalendo anaechukia na kushughulikia wabadhilifu.Mtu anayefaa kuwa Rais ni Dr Philiph Mpango hii nchi inahitaji mtu anayeweza ku-fix economy na kuwezesha kukua 8% na si kujenga viwanja!



Kiswahili kinazidi kuchanja mbuga 👇
Hata wale wanaoshukia jomo air port na kuja Tz si mnarikodi na kuwaita watalii wenu 😂😁Huyo watchman anadhani tourists ni wale hupanda landcruiser wakienda safari pekee. 🤣🤣🤣🤣🤣