The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Top 10 ya ma slums makubwa hapa Africa hakuna nchi itaingiza mji wake zaidi ya Kenya, hapo ma slums makubwa kama pipeline, Kaliadudu, Mukuru kwa leuben, Korogocho, Makuru Kayaba n.k hayajawekwa.